Jamani,nimesikia tetesi zimezagaa huku uswahilini kwetu kwamba kiasi cha hela alicholipwa Rick Ross ni milion 460 wakati wasanii wetu wa bongo walioshiriki kwenye show hiyo ya Fiesta walilipwa...
Kwenye Nyimbo yako ya kabwela ulio mshirika Rich Mavoko...kuna misemo ifuatayo...
>Nimepigwa msumari wa
kichwa mwili unangoja
kaburi maisha yamenipiga picha nega zimetoka vivuli
dunia...
Oprah Winfrey says she won't judge Rihanna and Chris Brown if they rekindle their romance
Winfrey says she won't be surprised if Rihanna gives Brown another chance...
Ni kisa kilichosimuliwa vizuri na kwa ubunifu mkubwa na mwanadada ajulikanaye kwa jina la BAHATI BUKUKU.
Ni kibao kilichopigwa kwa hadhi ya kama charanga fulani,kina ujumbe ambao kwa dunia ya...
The African Voice Newspaper UK has now released nominees for the 17th African Film Awards 2012 better known as Hollywood Awards. Winners of each category will be announced at a special ceremony in...
Ijumaa hii ni fiesta mbeya
Sio kawaida kwa mbeya fiesta kuja kirahisi hivi sugu alikuwa msatali wa mbele kutetea wasanii
wachanga na wale wanaochipukia lakini cha kushangaza sasa hivi baada ya...
Kuanzia leo 1st Oct DStv wamebadilisha arrangement ya channels zao. Superb arrangement. Movies channels mpya. Sasa kazi ni kutafuta pesa kulipia package 2 burudani za kutosha. 2Thumbs Up DStv...
wadau mwenye kujua jinsi ya kupata Album za hawa vijana wa M-Lab,(Stereo,One,mix tape ya Duke,Songa na Nash Mc) anaisaidie tafadhali..coz hwa jamaa huwa nawakubali kinyama yani..!!!
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki...
Wadau,
Kituo cha Televisheni cha DTV kimeamua kuja upya kama kituo cha kisasa.
Katika kuja upya huko kimeamua kupita mitaa mbalimbali ya jijini Dar es Salaam na kupigiga style kama ya...
Mambo vipi wapendwa,
Natumaini sisi sote ni wazima ninaombi kwa mwenye nyimbo hizi za Tanzania ambazo ni Tazama Ramani utaona nchi nzuri. Na Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Naomba kwa...
kuna mtanzania anaefanya mziki wake mbele,amewahi imba wimbo hu''WHY DON'T U CHAA...NGE YOUR LOVE ON MEE..WHY DONT U CHA...NGE YOUR LOVE ON MEEE...ulikua unarushwa sana na kituo cha ITV Miaka ya...
Napenda sana kwenda kukaa pale breakpoint ya mjini siku za ijumaa kusikikilza muziki wa asili. Lakini sifaidi nakereka sana na sauti yao ya juu wanayofungulia, ni kero tupu kwani licha ya kuharibu...
Imethibitika kuwa mmoja kati ya hao anaweza kudondoka kwenye kilele cha Fiesta mwisho wa mwezi huu DSM. Narudia tena, mmoja kati ya Rick Ross na Nick Minaj atadondoka kupiga show ya mwisho ya...
Hongera EBSS- 2012
Tunawapongeza kwa maandalizi mazuri na walimu wazuri kama Banana tunamwaminia.
Kazi iko kwa majaji: Ule mchezo wa kubeba baadhi ya watu bila sababu tafadhali sana...
An upbeat African reality TV show grabs a rare but well induced backups from an International Development Organisation - Oxfam, and Tanzanian leading banking firm NMB!Whatch out and see our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.