Mshiriki wa Maisha Plus Azimia Baada ya Kukabidhiwa Hundi ya M20

kangamoko

Member
Nov 17, 2011
26
4
Mshiriki wa maisha plus aliyeshika nafasi ya kwanza na kupata zawadi ya kitita cha shilingi m20 azimia ghafla kabla hafla ya sherehe hizo kwisha.
 
Mangaline

JF-Expert Member
May 19, 2012
1,045
221
Tafsiri yake ni kuwa iko tofauti kubwa sana ya pato kwa watz. Mama huyo amepata kihoro kwa kuokota m20, akaona kama ndoto. Tunaomba mkuu wa kaya apunguze pengo kati ya walionacho na wasio nacho.
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,652
Acha uongo Pimbi wewe, mimi nimeangalia hakuna kitu kama hicho, sana sana Naibu Waziri Nyalandu amewaahidi Lunch kesho Serena Hotel. tafuta wapumbavu wenzako wa kudanganyana nao.

Umeangalia t.v/channel gani? Mimi nimeona hadi masood akaomba watu wambebe,akatoa angalizo kua ni jambo la kawaida watu wasishtuke ni hali ya kawaida
 
kangamoko

Member
Nov 17, 2011
26
4
Acha uongo Pimbi wewe, mimi nimeangalia hakuna kitu kama hicho, sana sana Naibu Waziri Nyalandu amewaahidi Lunch kesho Serena Hotel. tafuta wapumbavu wenzako wa kudanganyana nao.
kuna watu wanabishana mpaka na tv.kweli elimu ya kata haijasaidia mkuu aongeze juhudi
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,210
8,681
Acha uongo Pimbi wewe, mimi nimeangalia hakuna kitu kama hicho, sana sana Naibu Waziri Nyalandu amewaahidi Lunch kesho Serena Hotel. tafuta wapumbavu wenzako wa kudanganyana nao.
Matola vp broda, mbona mkali hv!.,usinambie unatafuna konyagi mda huu kama mimi!
 
Nindi

New Member
Dec 2, 2012
2
0
MAISHA PLUS INAZEEKA TU, SIJAONA KIPYA....ET MAISHA YA KUJITEGEMEA KWA KUCHONGA VITU...ILI UTAMU SERIKALINI WAENDELEE KULA WAO WENYEWE TU....KWELI UBONGO WA BONGO MATOPE...:shut-mouth:
 
EMARK

Member
Apr 8, 2012
30
3
Yah! Kweli dem kazimia...ila ishi ni madaraja yaliyokithiri tz. Huyo kapata m20 kazimia wakati mwingne katoa m17.7 ili kuwapa mshindi wa pili, tatu na washiriki wote waliobaki...
 
solution

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
493
97
Acha uongo Pimbi wewe, mimi nimeangalia hakuna kitu kama hicho, sana sana Naibu Waziri Nyalandu amewaahidi Lunch kesho Serena Hotel. tafuta wapumbavu wenzako wa kudanganyana nao.

Mkuu soma tangu mwanzo mada ianvyokwenda ...posibly unaelekeza shutuma kwa mtu asiyehusika ..BUT Pole mkuu kama imekugusa... be ceratin mimi nilikuwa najibu hoja ilyoltwa hapa ..mimi sio muazisha uzi ... Mbaye ungependa ungemita maneno hayo uliyochagua kumuita ... I was just responding to him SIR!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom