Swahili Hip Hop Summit 2012, yapunguza machungu ya Wanahip hop? Je watafika.


G

Gomesa

Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
23
Points
0
G

Gomesa

Member
Joined Oct 11, 2012
23 0
Wasanii mbalimbali wa muziki wa kufoka maarufu kama Hip Hop leo walikutana katika kikao cha wasanii wanaofanya sanaa na muziki wa aina hiyo, kilichoandaliwa na Asar Entertaiment na Alliance Francaise, katika ukumbi wa Alliance Francaise Hall, ilikuweza kujadili ni jinsi gani wanaweza wakaendeleza sanaa hiyo katika kilele kilichojulikana kama Swahili Hip Hop Summit 2012. Ila tatizo linakuja, je watafanikiwa kutoka na media nyingi kutowaunga mkono wasanii wa Hip Hop ... Soma zaidi
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,857
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,857 2,000
sio kweli kuwa media haiwasapoti bali hiphop nyingi zimejaa mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia!, kebehi, matusi na majigambo kuliko kuburudisha kukemea na kuelimisha
wana hip hop wengi wana tatizo la inferiority complex na seperiority complex
 
Analogia Malenga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Messages
1,102
Points
1,225
Analogia Malenga

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2012
1,102 1,225
sio kweli kuwa media haiwasapoti bali hiphop nyingi zimejaa mambo ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia!, kebehi, matusi na majigambo kuliko kuburudisha kukemea na kuelimisha
wana hip hop wengi wana tatizo la inferiority complex na seperiority complex
kaka hujui hphp. Hebu kaisikilize album kama soga za mzawa, african son, jogoo, vina kati mwanzo na mwisho, penda kuwasikiliza young killer, kad go, songa, nikk mbishi, nikki pili, fid q, zahiid, p the mc, umbwa mzee, bonta, roma, kala jemiah. Halafu niambie kuna mambo gani ya kufikiri
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,857
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,857 2,000
ukisema siijui hip hop utakuwa unanihukumu ndivyo sivyo, lakini huo ndio mtizamo wangu jaribu kusikiliza nyimbo za chid benz na wale vijana wa block 41morocco na wengineo kuna nyimbo zao haziwezi kamwe kupigwa redioni hazifai ni matuc tupu
 

Forum statistics

Threads 1,296,625
Members 498,672
Posts 31,254,136
Top