Kijana kweli shujaa ..kasema wazi haoni wa kumtoa wala hakuna ambaye anaugovi naye wala ambaye anatatizo nae kwa hiyo kaamua jitaja mwenye kuwa atoke kuliko kuwa mnafiki..safi
Nimekutana na hii picha ambapo huyu kijana wa Kizungu yuko anashangaa kuichunguza sanamu iliyochongwa kwa Aluminium ili agundue kama kuna chocgote. Uchunguzi mwingine huwa hauna tija jamani.
Baada ya wadau kuchangia changia picha hii, nitawaletea story na surprise fulani kwa wadau wa jamii forum. Sana sana kwa wale enzi za miaka ya 1980 mpaka 1990 hivi.
Niko mbele ya runinga yangu naangalia hili shindano lililopewa jina la Dume challenge....washiriki wanapimwa kuanzia michezo hadi uelewa wa mambo ya kawaida kabisa ambayo kwa washiriki wale...
Mwigizaji mwenye vituko vya aina yake Irene Uwoya, leo amesafari kwenda Moshi kumzika baba yake Mkubwa mbaye ndiye yule yule aliyekuwa padri wa harusi yake na Ndikumana. Soma Zaidi Wasanii wenzake...
Ray c kaenda U.G kufanya show na wenzake kama Emedy na wengine.Duh! Chakustajabisha Ray C alikuwa tilalila balaaa,akaanza kutukana on stage mashabiki wakaanza kumrushia chupa ndipo walinzi...
Mwigizaji na mfanyabiasha na aliyewahi kuwa mwanamuziki Dotnata Poshi, amesema kwa sasa ameaokoka kabisa na kuamua kufungua kanisa kubwa lengo likiwa kuwashawishi wasanii wenzake kuachana na...
Mastaa taja hapo juu leo wameomba msamaha kwa tendo lao lililoichefua jamii kwa picha zisizositiri miili yao, Akiongea Wema anasema steji ya fiesta iko juu na waandishi wa habari hukaa chini...
Kuna kipindi nilidhani kwamba hakuna chombo chochote cha kuweza kusimamia maadili ya filamu nchini. Hususani kuanzia katika uigizaji na hata jinsi wanavyofanya majukwaani.Lakini nimeweza kugundua...
Hivi jamani nyie huwa mnawaelewa hawa wanaojiita mastaa wa Bongo?? unakuta mtu anajiita staa anajivimbisha mbele za watu lakini hana mahala pakuishi pakueleweka, Akili ya kuwekeza hawana matokeo...
Hello wanajamvi, wapenzi wa Movie na Series, kama umeshawahi kuona series inaitwa Strike Back tayari SEASON 3 ipo hewani kama hujawahi kuiona kabisa basi itafute inafaa kuangalia hasa ukichukulia...
Roger Moore laughs off James Bond bashing By Meriah Doty
Posts
By Meriah Doty | Movie Talk 10 hours ago
Roger Moore in 1972 (Photo: AP/file)Although he ties Sean Connery...
Nini kipo nyuma ya wasanii hawa kuomba radhi kwa jamii? Je tuamini kuwa sasa wamekua au kuna shinikizo la wamiliki wa bongo movies kwa ajili ya mafanikio yako binafsi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.