Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mlimani City kuwaka moto kwa burudani ya kikwetukwetu, leo ni usiku wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania, kuanzia saa moja. Takribani tuzo 32 zitatolewa.
2 Reactions
240 Replies
25K Views
Hv dogo ndio kashapotea kwenye game au kuna nini? Duuu siamini kabisa! au ndio ule ugomvi na mganga wake na mganga ameamua kumwonyesha yeye ni nani? Au ndio dhambi ya mademu wake inamtafuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wasanii juu ya unyonywaji hasa unaofanywa na Clouds Media na kampuni zake shirikishi kama THT,Smooth Vibe,Prime times Promotion na nyingine nyingi. Hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WARAKA NAMBA 1(ZIPO 88) KILA WIKI UTAPATA WARAKA MMOJA Ni wazi na dhahiri kabisa kesi iliofunguliwa mahakamani dhidi ya Lady JayDee haina maana yoyote isipokuwa ni hofu ya mafisadi wa muziki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii? Kwa muda sasa miaka nenda miaka rudi kumekua na hii reality show inayoitwa Big Brother inayofanyika karibu kila mwaka katika nchi ya South Africa. Swali ambalo limekua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani huyu kaka mie ananivutia sana na nyimbo zake. Havumi lakini wamo Nasikiliza Ya nini malumbano!! Ya nini malumbano, ya nini maneno najiweka pembeni naepusha msongamano Bora nitulie...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
kwangu hizi ni moja kati ya movies chache sana ambazo kiukweli ziliwahi nitoa machozi enzi hizo movies za kinaija ndio habari ya mujini. Je umeshawahi zitazama? kama ni ndio unakumbuka nini...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Novemba 18,2012 iliyopita tulirusha kipindi cha barua kutoka kanda ya Ziwa kuhusu tukio la maziko na harakati za kumuenzi Kardinal Laulian Rugambwa. ambao hawakutazama channel ten siku hiyo...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Tasnia ya uandishi wa habari pamoja na utangazaji wa radio na television umekuwa dhaifu na usio na tija kwa kila siku zinavyokwenda.baadhi ya wandishi wa magazeti waanaandika habari pasipo utafiti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali zinazohusu radio ya watu claus.wana jf weng mmekuwa vinara wa kuiponda pamoja na watangazaji wake.nilichogundua hakuna hoja ya maana...
3 Reactions
215 Replies
20K Views
Helen Joseph Hospital - Auckland Park, Johannesburg, South Africa. The Medical report from Helen Joseph hospital, Dr. Shirley Radcliffe confirming that, Albert Mangwair died from: “Alcohol...
0 Reactions
45 Replies
17K Views
mwimbaji wa kiume unaopenda kushinda wote ndio nani? Kwa sababu gani? Ni wimbo gani ya msanii hao unaopenda kuliko zote nyingine?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwaje mtumwa wa hii miziki ya bongo flava! siku hizi ni wachache sana wanaweza kutoa nyimbo nje ya za mapenzi na zika-hit.... masikio yetu karibia yatachoka kwa kusikiliaza kitu kimoja...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
habr zenu waungwana nani atang.saidia kupata nyimbo za joe online?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Check this YouTube video
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Ye Jawani hai deewani'' romantic tale featuring young Ranbir Kapoor takes mammoth first day collection of 19.45 crore ($3.5 Million) from India alone proving two vital facts. 1. Ranbir Kapoor has...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanamuziki wa siku nyingi Carola Kinasha na Athanas Lukindo wanaelezea hali halisi ya tasnia ya muziki Tanzania. ( 1980 nakuendelea) na mwelekeo ya tasnia hiyo katika mahojiano na John Mtembezi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimemsikia mtangazaji wa Channel Ten kwenye taarifa ya habari ya saa moja usiku, akisema, 'Wanafunzi wa Kijapani waliimba wimbo maarufu wa NAKUPENDA MALAIKA ulioimbwa na Fadhili William wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ndivyo wanamuziki wa Wenge Musica walivyokuwa mwaka 1988. Wanaohojiwa ni Alain Makaba na JB Mpiana. Wengine wanaoonekana katika video ni pamoja na Werrason, Blaise Bula na Didier Masela.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Harakati zinaendelea kama kawaida mpaka tunahakikisha clouds fm tunaizika. Ingia facebook tafuta page inaitwa mazishi YA clouds FM, huku ndiko harakat zinaendelea na kuwavua nguo clouds fm na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom