Namuunga mkono sugu wasanii wakiamua wanaweza

  • Thread starter mwanaharakatihalisi1
  • Start date

mwanaharakatihalisi1

mwanaharakatihalisi1

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
107
Likes
2
Points
35
mwanaharakatihalisi1

mwanaharakatihalisi1

Senior Member
Joined Apr 26, 2013
107 2 35
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wasanii juu ya unyonywaji hasa unaofanywa na Clouds Media na kampuni zake shirikishi kama THT,Smooth Vibe,Prime times Promotion na nyingine nyingi. Hii ilipelekea mpaka mbunge wa mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi kuingia katika mgogoro mkubwa na chombo hiki ambacho kinajiita Radio ya watu.
Hivi juzi wameibuka na mgogoro mkubwa ambao ukiuangalia ni kua ulianza muda mrefu mpaka msanii Lady Jay Dee alipoamua kusema hsdharani. Pamoja na kusema hayo mmoja ya wakurugenzi Ruge Mutahaba alijibu na kusema kua Jide amechuja lakini jana watanzania wamemuonesha na kumuonyesha kuwa sio hivyo kwa kumpa kura Lady Jay Dee na kupata tuzo za KTMA. Hii inaoneshs kuwa Clouds wamekuwa wakipanga nani na nani wakae juu kwenye mziki.
Wao wanajiita redio ya watu sasa mbona hawapigi nyimbo zinazopendwa na watu kama joto hasira wa lady jay dee.
Hii inaonesha wanaendesha kituo kibinafsi sana hawa watu.
Wamekuwa hawapigi hata nyimbo za Rama dee ambae jana amepewa tuzo
Kuanzia leo namuunga mkono Sugu katika vita hii
 
mpushi

mpushi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Messages
260
Likes
17
Points
35
mpushi

mpushi

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2011
260 17 35
Mkuu redio sii Clouds Fm tu kwa hiyo hata wasipopiga ni sawa tuu
 
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
5,336
Likes
2,901
Points
280
GreenCity

GreenCity

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
5,336 2,901 280
Kwa pamoja tunaweza kuiondoa hii virus! Tufuate sisi!
 

Forum statistics

Threads 1,272,962
Members 490,211
Posts 30,466,006