Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wanajamii kwa muda sasa orijino comedy wamekuwa wakirusha segment ya salama condom binafsi siioni kama inajenga maana watu wataacha kuangalia kwa kuhofia kuharibu watoto wao......Naomba mawazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Authorities are unsure of the cause of death for the rapper, 34. Rapper Chris Kelly, left, of the duo Kris Kross, has died in Georgia at the age of 34.(Photo: Paul Natkin, WireImage) Story...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
duh hii tv kwa kuiga balaa,wanajinadi km wanakuja ma kipindi kipya lkn ni copy n paste ya kubamba hile ya Citizen Tv ya Kenya..
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa kibongo bongo EATV,wamajitahid sana naona clouds tv wanakopi sana maujanja ya eatv,sasa wana mpango wa kirusha kipindi mithili ya in da house ambacho kilikuwa kinarushwa na eatv..
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Tatizo ni kuwa hajapata mtu wa kumwamini kumpa story acheze movie yake/au amuuzie...Je ninaweza kumpata nani ili kumsaidia?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kati ya Steve Rnb na Ben Pol nani mkalii
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanamuziki mahiri nchini Judith Wambura 'Jide' ambaye yuko safarini mkoani Dodoma, Jumamosi iliyopita alionesha kuhofia kutupiwa jini Ruge, baada ya kupita wiki kadhaa tangu azinguane na mabosi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
'heshima wadau... ...ee bwana nimepewa zoezi la kupeleka watu kwanja kwa leo may day ila sjajua ni wapi kwa leo kina-happen wadau nkasema JF hakishindikani kitu ngoja nizame. Ila sasa kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
USTADHI FUNGUKA:ISHU YA DIAMOND KUBAKI NA MAREHEMU BI KIDUDE KUNYONYA NYOTA ZA BI KIDUDE Baada ya msiba wa Bi Kidude kumalizika, hivi karibuni ziliibuka taarifa kuwa mwanamuziki Nasibu Abdul...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Salaam wana Jamvi! Natafuta soft copy ya wimbo wa Tabou Fatu wa Farry Ipupa. mwenye kuwa nao au link ya kuupata naomba anisaidie. Asante!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
napenda sana movie, na uwa najiskia vibaya napoona movie mbaya za kibongo, script hazijitoshelezi,na zile ambazo ni nzuri, mara nyingi zinakuwa copycat ya movie za nje.....mimi huwa naandika tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka kujua Kati ya Tamaduni Muzik na Weusi company lipi n moja ya Label bora ya Muzki wa Hiphop Bong
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Howdy? When I was a teenager in the late 1990s and early 2000s, I never missed boogieing down on weekends. It was the era that saw a boom of down-south hip hop music. Damn! I had unforgettable...
4 Reactions
66 Replies
15K Views
Wakuu kuna movie flani niliiona kama 2008 au 2009 hivi. Hii movie siikumbuki jina, lakini nakumbuka baadhi ya sehemu zake. Part ninayoikumbuka ni kwenye ndege ya abiria. Kulikuwa na ugomvi kati ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sir Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi akiwanyooshea Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa NANI MFALME ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Jamani wanajamii kama kuna mtu anazijua website za kudownload nyimbo za dini za Tanzania naomba anisaidie
1 Reactions
23 Replies
2K Views
http://2.bp.blogspot.com/-BhdjpAoYnEw/UXkWKfNLyqI/AAAAAAAAMUY/V6jf859jU5U/s1600/KILI+AWARDS.JPG http://2.bp.blogspot.com/-Bx3Xw22HDy4/UXkUqXcb8xI/AAAAAAAAMTY/0FVxhjAZYlU/s1600/KILI+2.JPG...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani natafuta mwalimu atakaye nifundisha ku play keyboard.atakayeweza kunisaidia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimekumbuka enzi hizo nikiwa mdogo mdogo kulikuwa na muvi moja ya kikomando tulikuwa tunaipenda sana (mimi na vijana wenzagu enzi hizo). Stelingi wake tulikuwa tunamwita 'Komando chambo'...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
WANAWAKE WAUNGANA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND Ni kwa Kumdhalilisha Bi. Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo nyeti! Kitendo cha Mwanamuziki wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom