Nisaidien kupata nyimbo za joe thomas.

Nisaidien kupata nyimbo za joe thomas.

Transman

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
870
Reaction score
654
habr zenu waungwana nani atang.saidia kupata nyimbo za joe online?
 
Unataka audio au na video?zipo mp3 nyingi sana za joe kwenye @Mp3juices.com na video zake zipo @tubidy.mobi hapa unazipata karibia zote mkuu,na unaweza ku download au kucheki online,ni kama youtube ila hapa unaweza ku download bila shida hata kama unatumia kimchina.usiporidhika na hizo nishtue, Nb hii tubidy unaweza kui download kama app kwenye simu/com yako na mambo yakawa even more easier.
 
Asante xana bhana. Nimejaribu kudownload kwa tubidy video zinaplay hazikubali kuingia. Natumia cm ya hTc
 
Back
Top Bottom