UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,315
Hv dogo ndio kashapotea kwenye game au kuna nini?
Duuu siamini kabisa! au ndio ule ugomvi na mganga wake na mganga ameamua kumwonyesha yeye ni nani?
Au ndio dhambi ya mademu wake inamtafuna!
Au na yeye ataibukia kituo kimojawapo cha redio na kumparura km jide na clouds media!
Duuu kichwa kinauma aisee!
Asubuhi mkiamka njooni tuje tutee kuhusu hili!