Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jamani mimi kusema kweli nimemiss saaaana zile nyimbo za zamani za CCM zile za nambari one na chajenga nchi. Naomba kama kuna mtu alienazo anipandishie nizisikilize kidogo au hata kwenye link...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Simba baaaaaasi!
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Sakata la Ruge & jaydee ni ugomvi wa kifamilia,lakini wananchi tunajua mapungufu yao na kwa vilio vyetu tunafahamu nani ni tatizo kwetu! Sasa weka pembeni ugomvi wa kifamilia wa Ruge na Jaydee...
11 Reactions
56 Replies
8K Views
ni sehemu/ kumbi mtu aweza pata burudnani tajwa hapo juu... sehemu ziwe na staha kwa watu wazima, zisiwe na vurugu za vijana wa zama hizi za Whats up na Facebook... Mfano.. -La Prima... King...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Lauryn Hill jailed for tax evasion SOURCE: BBC Lauryn Hill has been out of the public eye while raising her six children Singer Lauryn Hill has been sentenced in the US state of New Jersey...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
HILI JENEZA tutahakikisha tunaizika clouds fm... REST IN PEACE CLOUD FM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kusema hivi kutokana na kukerwa kwa kitendo cha wanawake wawili known East Africa.DIVA LOVENESS LOVE (TZ)& BOSS LADY(KENYA) kutukanana na kutupiana maneno ya kashfa kisa kumgombania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BlackMaskEventsOrg Presents To You The First Inter College Mask Party To Be Held At Club Olympia On 18th May From 9pm Till Dawn!!!Alot Of Special Events Will Be There Like Red Carpet...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
BlackMaskEventsOrg Presents To You The First Inter College Mask Party To Be Held At Club Olympia (Sinza Mori) On 18th May From 9pm Till Dawn!!!Alot Of Special Events Will Be There Like Red Carpet...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
katika kipindi cha Diary ya Lady JD; Linah na Barnaba walionyeshwa mbele ya Camera wakithibitisha watashiriki katika show hiyo. Hiyo ilikuwa baada ya kulipwa advance. Habari zaidi: Leotainment...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimeamua niwapongeze orijino comedy kwa sababu ya topic yao ya jana jioni May 11, 2013 hasa ile inayowakumbusha wanawake kujua wajibu wao. Wanawaonya wale wanawake wanaojisahau na kuwaachia...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Join this FREE hot East Africa chat/social networking site at Tuonane.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ulikuwepo usiku wa kuamkia leo katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Miss Mbeya City Centre tuambie mtazao wako wa shughuli nzima.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini sikumbuki while...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu kuna tetesi huku kutoka mwimbajh nyimbo za injili Lewis Raphael(Wa Mufindi)juwa kuwa Diamond ataanza kuimba injli
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau kwa wanaofuatilia show ya mkasi vipi wanaendelea kuonyesha new episodes kwenye tv ? Kwa maana sisi tunaoangalia mtandaoni hatupati episodes mpya Thanks wadau
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naona baada ya leo Clouds kusema kwamba hawatapiga Nyimbo za Bongo Fleva,Times wamesema Wiki hii nzima ni Mwendo wa Bongo fleva tu(Nyumbani ni Nyumbani)na mchana huu namesikia kwenye kipindi cha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mtanzania ambaye kwa sasa ni raia wa Uingereza na anayechezea klabu ya Chelsea, Adam Nditi ameiponda show ya Diamond mjini Reading nchini humo na kudai ilikuwa ni aibu tupu. “Diamond jana manyago...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu hizi epsode zinaonyeshwa sana Star Tv nimekuwa nikimsikia wife akifatilia bila me kuielewa mpk aliponisimulia nimevutiwa sana na namna ilivyoandaliwa kuhusu hawa mabinti wawili wa kimasikini...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Back
Top Bottom