Big Brother Ina Manufaa Yoyote?


hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
286
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 286 180
Habari zenu wanajamii?
Kwa muda sasa miaka nenda miaka rudi kumekua na hii reality show inayoitwa Big Brother inayofanyika karibu kila mwaka katika nchi ya South Africa.
Swali ambalo limekua likinitatiza ni je, hii reality show ina manufaa gani hasa kwa mtu binafsi na hata jamii ya waafrika ituzungukayo? Kwa zaidi ya miaka mingi Afrika imekua na maadili yake yenyewe na tukiiangalia hii show kwa jinsi ilivyo hai reflect hata chembe ya maadili yetu wenyewe. Hii inaonesha jinsi itikadi na tamaduni yetu ilivyomezwa na tamaduni za kimagharibi.
Ni kweli show hii ina manufaa yoyote katika bara hili la Morikwa?
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,734
Likes
2,013
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,734 2,013 280
inamanufaa hasa kwa wauza sura wa afrika cheki mwisho cheki prezoo cheki the late goldie unanufaika kwa kujulikana zaidi duniani..
 
vyuku

vyuku

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Messages
494
Likes
41
Points
45
vyuku

vyuku

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2012
494 41 45
Haina faida yyte zaidi ni laana tu,wengi wao ni wacheza filamu za uchi huko kwao
 
Ehud

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,696
Likes
27
Points
0
Ehud

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,696 27 0
usingalie....ikianza wewe weka katuni za Boomerang kwenye dstv yako
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,973
Likes
985
Points
280
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,973 985 280
Upotofu na vuruga vuruga za utamaduni wa kiAfrika, Wasemavyo waswahili poteza maadili yao.
Sahaulisha vizazi walipotokea.
 
+255

+255

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
1,948
Likes
333
Points
180
+255

+255

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
1,948 333 180
Kwani kuangalia mpira kuna manufaa gani?
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,425
Likes
7,520
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,425 7,520 280
ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ngomani.
 
B

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
1,345
Likes
704
Points
280
B

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
1,345 704 280
inanufaisha kuchunguluana ------.
 
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,895
Likes
3,527
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,895 3,527 280
He jamani kuchunguliana kuna raha yake !isitoshe a lot of cash kwa atakaye shinda!
 
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
2,337
Likes
552
Points
280
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
2,337 552 280
Wapumbuvu hushabikia mambo ya kipumbuvu!
 
eddy brown

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
337
Likes
198
Points
60
Age
60
eddy brown

eddy brown

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
337 198 60
U don't want,don't watch.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
eddy brown

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
337
Likes
198
Points
60
Age
60
eddy brown

eddy brown

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
337 198 60
Habari zenu wanajamii?
Kwa muda sasa miaka nenda miaka rudi kumekua na hii reality show inayoitwa Big Brother inayofanyika karibu kila mwaka katika nchi ya South Africa.
Swali ambalo limekua likinitatiza ni je, hii reality show ina manufaa gani hasa kwa mtu binafsi na hata jamii ya waafrika ituzungukayo? Kwa zaidi ya miaka mingi Afrika imekua na maadili yake yenyewe na tukiiangalia hii show kwa jinsi ilivyo hai reflect hata chembe ya maadili yetu wenyewe. Hii inaonesha jinsi itikadi na tamaduni yetu ilivyomezwa na tamaduni za kimagharibi.
Ni kweli show hii ina manufaa yoyote katika bara hili la Morikwa?


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jimjuls

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
466
Likes
25
Points
45
Age
30
Jimjuls

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
466 25 45
Sioni manufaa yake kwa sisi watanzania.
 
zanishaha

zanishaha

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Messages
142
Likes
3
Points
35
zanishaha

zanishaha

Senior Member
Joined May 28, 2013
142 3 35
Faida zipo tena nyingi,na moja moja ni hile hali ya kuitangaza nchi,hakuna anaelazimishwa kuonesha tamadun za magharib na ilimradi kuna nchi za africa tupu,ile ndo life ya hao watu katika hali halisi na kuwepo kwa globalization kamwe mwingiliano wa tamaduni hauepukiki,apart from that si lazima kila kitu kifundishe inabaki kuwa entertaiment kwa anaetaka,kwa hali ya kawaida nivipindi vingapi vya umuhim watu wanaskip?
 
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,248
Likes
344
Points
180
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,248 344 180
faida zipo tena nyingi,na moja moja ni hile hali ya kuitangaza nchi,hakuna anaelazimishwa kuonesha tamadun za magharib na ilimradi kuna nchi za africa tupu,ile ndo life ya hao watu katika hali halisi na kuwepo kwa globalization kamwe mwingiliano wa tamaduni hauepukiki,apart from that si lazima kila kitu kifundishe inabaki kuwa entertaiment kwa anaetaka,kwa hali ya kawaida nivipindi vingapi vya umuhim watu wanaskip?
sick....>!!
 
zanishaha

zanishaha

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Messages
142
Likes
3
Points
35
zanishaha

zanishaha

Senior Member
Joined May 28, 2013
142 3 35
Toa hoja usikrupuke,kwa ufyatuaji tu
 
limbende

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Messages
737
Likes
360
Points
80
limbende

limbende

JF-Expert Member
Joined May 14, 2013
737 360 80
Imefika wakati Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Ukwaju

Ukwaju

JF Bronze Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,327
Likes
1,784
Points
280
Ukwaju

Ukwaju

JF Bronze Member
Joined Oct 19, 2010
9,327 1,784 280
Mimi nashauri na Bungeni tuwekewe Camera (za CCTV) na huko wanakolalala ILI MUAMUA bIG bROTHER NA HUKO WAPI KUNA NAFUU.
YA NGOSWE MUACHIENI NGOSWE
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,618
Likes
6,131
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,618 6,131 280
Tanzania imepigwa BAN
 

Forum statistics

Threads 1,275,100
Members 490,908
Posts 30,532,670