Hivi ndivyo wanamuziki wa Wenge Musica walivyokuwa mwaka 1988. Wanaohojiwa ni Alain Makaba na JB Mpiana. Wengine wanaoonekana katika video ni pamoja na Werrason, Blaise Bula na Didier Masela.
mdau hawa jamaa walikuwawa moto wa kuotea mbali, walikuwa na nyimbo nyingi sana nzuri ila zinazonivutia zaidi ni Kalay Boing, Hi Ho Ha, na Jojo Ngonda sichoki kuzisikiliza.
wenge ya akina alan mpela makanda,blaise bula, marie poul,adolf domingize,titi titina alkapon,werason makanda,tutu kaluji,jb mpiana na wengineo ilikuwa sio mchezo.
Na zi miss sana album zote hadi Titanic. Baada ya hapo hakuna track kiwango kama za hapo nyuma.Hivi sasa Congo hawasikiki tena Africa kwani wameuharibu sana muziki wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.