Enzi hizo

Enzi hizo

Fixed Point

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
11,304
Reaction score
12,753
Nilikuwaje mtumwa wa hii miziki ya bongo flava!
siku hizi ni wachache sana wanaweza kutoa nyimbo nje ya za mapenzi na zika-hit....
masikio yetu karibia yatachoka kwa kusikiliaza kitu kimoja tuuuuu....
hata kama tunasema mapenzi yana-run dunia, tuongelee na mambo mengine yanayojili.
kwa wale wapenzi wa ile miziki tukumbushane nyimbo za enzi hizo ambazo tulizipenda sana

cc. Nyani Ngabu, EMT BAK
 
Last edited by a moderator:
Rafiki mie sikuwa sana mpenzi wa Bongo flava. I was more into the like of Mchinga Sound (Swahili song: Kichwa cha panzi - YouTube) (tupishe tupite tunataka njia, kama vile wewe unga tela nyuma), Twanga Pepeta, miziki ya Kikongo bila kusahau zilipendwa.

Hata hiyo kulikuwa na tunes za bongo fleva ambazo zilikuwa zinafurahisha sana. Mfano, wimbo mmoja ullimbwa na Lion na Joni Woka unaitwa Umaskini. Waliniacha hoi line moja eti wakati akiwa mtoto ukiwa na nywele ndefu, mama alikuwa anazikata ili kupunguza matumizi ya sabuni. Which was kinda true though.

Pia zilikuwepo laid back Bongo Fleva. Kama zile za Mangwear kama Dakika Moja, Ndani ya Klabu (alichukua beats za marekani).

But bado naikumbuka hii.

Last edited by a moderator:
Rafiki mie sikuwa sana mpenzi wa Bongo flava. I was more into the like of Mchinga Sound (Swahili song: Kichwa cha panzi - YouTube) (tupishe tupite tunataka njia, kama vile wewe unga tela nyuma), Twanga Pepeta, miziki ya Kikongo bila kusahau zilipendwa.
hizo hapo kwa kucheza hadi leo zinabamba sana.....
hawa bongo flava wa zamani nilikuwa napenda sana kusikiliza maneno, yaani unasikiliza vituko, unacheka tu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
ha haaa, mbwa napaliwa mate.......bado....."alikuwa anabweka umbeya", lol!

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii KIBANDA CHA SIMU kweli ilikuwa inanifurahisha sana hasa pale NSHOMIRE wanapokuja na kumteta jamaa kwa KIHAYA (aka akasigazi kafwera=kakijana haka kajinga) wakidhania hajui kinachosemwa🙂
 
hizo hapo kwa kucheza hadi leo zinabamba sana.....
hawa bongo flava wa zamani nilikuwa napenda sana kusikiliza maneno, yaani unasikiliza vituko, unacheka tu

Ukilinganisha na miziki ta sasa hivi hadi unakosa hamu ya kuwasikiliza Mastar wasasa maana theme ni mapenziii tuuuu
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, mbwa napaliwa mate.......bado....."alikuwa anabweka umbeya", lol!

Huu wimbo unafurahisha sana. Eti wewe kila bado?

RIP Mr Ebbo. Alifanya Bongo Fleva ikawa popular nje ya nchi.

Njaa huaminiki, usije ukakaa kichwani.

[video=youtube_share;EYqGA-5M15Q]http://youtu.be/EYqGA-5M15Q[/video]
 
Last edited by a moderator:
Asante sana FP umenikumbusha kipindi nilipokubali kugeuza shingo yangu (NILIKUWA MGUMU KWELI KWELI) na kukubali kwamba VIJANA wa ki-Tanzania wameweza kuja na genre tofauti ya muziki na, NI MUZIKI unaoweza kuupenda ukiusikiliza na hata kuucheza!!!!
 
Ukilinganisha na miziki ta sasa hivi hadi unakosa hamu ya kuwasikiliza Mastar wasasa maana theme ni mapenziii tuuuu

Probably ni kutokuwa creative au ku=commercialise Bongo Fleva.

Kama hii siyo ya zamani, lakini mtu huchoki kuisikiliza

[video=youtube_share;1o-bqzV-RTA]http://youtu.be/1o-bqzV-RTA[/video]
 
EMT ulikuwa darasa la ngapi wakati Kwanza Unit iko kwenye chati?

Last edited by a moderator:
FP unaijua hii? Au ulikuwa bado mtoto sana ilipotoka?
hapo kwenye RED hapo usije ukaingia kwenye kundi la watu wanaonikimbia sababu wanaona noma kuniamkia....
tuache tu kama ilivyo......
hawa jamaa walikuwa wanawaza sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom