BlackMaskEventsOrg Presents To You The First Inter College Mask Party To Be Held At Club Olympia On 18th May From 9pm Till Dawn!!!Alot Of Special Events Will Be There Like Red Carpet...
BlackMaskEventsOrg Presents To You The First Inter College Mask Party To Be Held At Club Olympia (Sinza Mori) On 18th May From 9pm Till Dawn!!!Alot Of Special Events Will Be There Like Red Carpet...
katika kipindi cha Diary ya Lady JD; Linah na Barnaba walionyeshwa mbele ya Camera wakithibitisha watashiriki katika show hiyo. Hiyo ilikuwa baada ya kulipwa advance.
Habari zaidi: Leotainment...
Nimeamua niwapongeze orijino comedy kwa sababu ya topic yao ya jana jioni May 11, 2013 hasa ile inayowakumbusha wanawake kujua wajibu wao. Wanawaonya wale wanawake wanaojisahau na kuwaachia...
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now
eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini
huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini
sikumbuki while...
Wadau kwa wanaofuatilia show ya mkasi vipi wanaendelea kuonyesha new episodes kwenye tv ?
Kwa maana sisi tunaoangalia mtandaoni hatupati episodes mpya
Thanks wadau
Naona baada ya leo Clouds kusema kwamba hawatapiga Nyimbo za Bongo Fleva,Times wamesema Wiki hii nzima ni Mwendo wa Bongo fleva tu(Nyumbani ni Nyumbani)na mchana huu namesikia kwenye kipindi cha...
Mtanzania ambaye kwa sasa ni raia wa Uingereza na anayechezea klabu ya Chelsea, Adam Nditi ameiponda show ya Diamond mjini Reading nchini humo na kudai ilikuwa ni aibu tupu.
Diamond jana manyago...
Wakuu hizi epsode zinaonyeshwa sana Star Tv nimekuwa nikimsikia wife akifatilia bila me kuielewa mpk aliponisimulia nimevutiwa sana na namna ilivyoandaliwa kuhusu hawa mabinti wawili wa kimasikini...
Habarini ndugu zanguni, katika kujaribu kutafuta what is going on in my life, nimefanikiwa kuanzisha kundi jipya la muziki wa kizazi kipya. Muda huu kundi linajiandaa kurekodi...
wasanii woote wa bongo muda wa kufaidi matunda yenu ni sasa. sioni kama mkiendelea kulalamika kila siku ndo mtafanikiwa. huu siyo muda wakuendelea kulalamika zaidi ya kuungana na kuwa kitu kimoja...
Huyu jamaa yuoo wapi siku izi alinikoshaga sana na ile nyimbo yake ya pain in me..ni kitambo sana sijamsikia sijui yuko wapi sasa iv na anafanya nini..
(News) Soma barua hii ya wazi
kutoka kwa mdau wa muziki
nchini "MAFISADI WA MUZIKI:
Walio wengi wamezoea kusikia
ufisidi katika siasi, viongozi
waliokua na
uuzo wa tabia na kujilimbikizia...
Hey Guys....Nairoberry, Livefire, Mwembetayari, and who is that other guy who got me locked up in one malicious ban--I can't even remember his name; anyway I am back: and ready for another big...
The serene town of Varkala buzzes with activity during the vacation season. A perfect beach escapade for leisure travelers, honeymooners and medical tourists, Varkala has much to bestow. Long...
ile cinema ya jide dhidi ya ruge na wajanja wenzie inaendela sasa kwa ruge kumjibu jide tegeni sikio kwenye redio cloudsfm sasa
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu,
hatimaye mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.