Ndoa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 1,033
- 254
Nimemsikia mtangazaji wa Channel Ten kwenye taarifa ya habari ya saa moja usiku, akisema, 'Wanafunzi wa Kijapani waliimba wimbo maarufu wa NAKUPENDA MALAIKA ulioimbwa na Fadhili William wa Tanzania'. Hivi wadau wa muziki wa zamani, huyu Fadhili william hakuwa Mkenya kweli?