Habar wandugu?, jaman mwenye album ya jay dee (nothing but the truth) naomba anisaidie, kwa sasa sina uwezo wa kununua iyo album ila naihitaj sana, naomben msaada wenu jamaa, asanten.
WE GLADLY WELCOME!! YOU TO MURTEN STORE LIMITED®
MURTEN STORE LIMITED® NOW OFFER A ANNUAL SALE!!!
We are dealers of all kinds of Mobile Phones Such as Apple Iphone, Blackberry, Nokia, Samsung...
Mi sina mengi ya kuongea, jionee mwenyewe:
nako2nako-hawatuwezi - YouTube
Una neno lolote la kuwaam bia CCM kuhusu uchaguzi wa madiwani Arusha?
Mimi langu ni
WALIJARIBU WALE
Wengi wetu tunaelewa historia ya muziki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na nafasi ya nchi hiyo katika muziki barani Afrika. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni muziki wa Congo umebadilika kiasi...
Mimi na wewe unaye soma uzi huu tunajua kwamba The Heavy Weight MC , Kaka Mkubwa Profesa Jay, hayupo katika good terms na BLAUZ FM. # Team JotoHasira. Basi leo kwenye...
Wana jamvi haya hapa ni mashairi wa wimbo mpya wa Jay z uitwao heaven, wimbo huu umekuwa na maoni tofauti mitandaoni , wengine wakisema ni Muabudu shetani na wengine wakisema sio kweli, Je wewe...
Habari za kusikitisha zilizo nifikia hivi punde, zinasema Msanii Linah kutoka THT naye ameanza kutumia cocaine. Haijajulikana ni sababu gani haswa ambayo imemfanya mdada huyu...
Naomba kujuzwa kuhusu hii bendi kwan nimeona tangazo lao kuwa kila ijumaa watakuwa pale landmark hotel.Nilipata taarifa kuwa mwezi wa ramadhani huwa hawafanyi show,Sasa swali ni kweli hawafanyi...
Vilio na simanzi vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake mzazi...
Bridge : A. Town , hi indo a. town , a town, hi indo a. town.
Chorus : Mungu Nipe A. Town, Mungu nipe acity,
Mungu nipe Arachuga, bongofleva wakituona wana zuga...
Ilikuwa ni albamu babu kubwa, ndani ya albamu hiyo kulikuwa na nyimbo, Sofia ( eeh sory to sofia, i lov you mwanamaaa ), morenita , Aba Guimo, Robin Pretty, Mama Rhoda...
Wakuu shwari? Naomba mtu mwenye novel ya Sydney Sheldon iitwayo Mistress of the Game aniazime. Nilikiona pale Scholastic mlimani city sikuwa na mshiko siku nilipopata nikaenda ninunue nikakuta...
Nilikuwa naangalia interview ya sista duu lulu, daah! kazi ipo, manake hizo posi zimepitiliza, halafu sijui majibu mengine ni ya kukariri, basi michosho tupu! nimeshindwa hata kumalizia...loh...
Mwandishi mashuhuri wa vitabu nchini Marekani, Robert Green anasema " Wale wanao mchukulia msanii 50 Cents kama Gangster pekee, wanatakiwa kuanza kubadilisha mitazamo yao haraka...
"JACK WOLPER ANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU....KAMA SANAA IMEMSHINDA BASI AKAJIUZE AU AKAUZE VIPODOZI"...BABY MADAHA
MWIGIZAJI wa kike na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Baby...
UWOYA AAMBULIA MATUSI BAADA YA KUMFANANISHA DIAMOND NA MICHAEL JACKSON
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu...
Mwigizaji Mmarekani mweye asili ya Afrika Jim Kelly alifariki dunia Juni 29, 2013 akiwa na umri wa miaka 67. Jim Kelly alitamba miaka ya 1970 na 1980 baada ya kuibuka katika sinema ya 'Enter The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.