Bingwaman
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 548
- 288
Wengi wetu tunaelewa historia ya muziki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na nafasi ya nchi hiyo katika muziki barani Afrika. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni muziki wa Congo umebadilika kiasi cha baadhi yetu kujiuliza kama bado nchi hiyo iko juu kimuziki kama miaka iliyopita. Nini maoni yenu wakuu?