LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,900
- 37,668
Mimi na wewe unaye soma uzi huu tunajua kwamba The Heavy Weight MC , Kaka Mkubwa Profesa Jay, hayupo katika good terms na BLAUZ FM. # Team JotoHasira. Basi leo kwenye kipindi chao cha bongo fleva, kulikuwa na segment ya kupiga nyimbo za zamani. Adam Mchomvu akiwa mtamboni, alianza kwa kucheza kipande cha wimbo Bongo Dar Es salaam wa Profesa Jay pale anapo sema YO YO YO YO... Kipande kilikuwa kinarudiwa karibu dakika tatu , halafu ghafla kati kati ya kipande, akaachia ule wimbo unaoitwa WANAMWITA KAKA POA HUYU JAMAA.. kipande hiki pia kilikuwa kinarudiwa mara nyingi nyingi, halafu kati kati ya kipade hicho, kinawekwa tena kipande cha Profesa Jay..Hii iliendelea kwa kama dakika nane hivi, then zikafuatia nyimbo zingine...
Kwa mtazamo wangu, hili ni dongo kwa Profesa Jay, kitaalamu madongo ya namna hii huwa yanaitwa INNUENDO ama SUBLIMINAL, yaani unamtusi mtu kwa kutumia indirect way.
MIMI TU NDIO NIMESIKIA NA KUELEWA HIVYO, NA MIMI TU NDIO NINAYE WALETEA HABARI HII.