Twanga pepeta

Twanga pepeta

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,015
Reaction score
2,054
Naomba kujuzwa kuhusu hii bendi kwan nimeona tangazo lao kuwa kila ijumaa watakuwa pale landmark hotel.Nilipata taarifa kuwa mwezi wa ramadhani huwa hawafanyi show,Sasa swali ni kweli hawafanyi show au leo watakuwa pale landmark km kawaida???Naomba sn kujuzwa hili hili inisaidie.Naomba kuwasirisha.
 
Back
Top Bottom