LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,900
- 37,696
Bridge : A. Town , hi indo a. town , a town, hi indo a. town.
Chorus : Mungu Nipe A. Town, Mungu nipe acity,
Mungu nipe Arachuga, bongofleva wakituona wana zuga.
Mungu nipe mkoa, sio darisalama
Uliojaa mashoga na watoto wa mama.
Mungu nipe demu, sio Wema Sepetu,
Aliye jaa maskendo mengi ya umalaya tu,
Mungu nipe muziki, sio bongo fleva, tungo zao za mademu hawana wanacheza
Mungu nipe madj kama wa arusha, wengi ni magangster halafu ni ma hustler,
Mungu nipe ma break dance sio kiduku, baada ya miaka arobaini wanakula mambo huku.
Mungu nipe majani kama ya A.TOWN nikikaa ghetto nijione nipo Marekani
REPEAT CHORUS
Mungu nipe mbunge kama Lema, amejaa ushujaa ndo maana tunampenda
Mungu nipe Legendary kama Faza Neli, sio Afande Sele, anaye piga makelele.
Mungu nipe rais kama Nyerere, sio wa awamu ya nne, sitaki kumuona milele,
Mungu nipe Waziri Mkuu kama Sokoine, sio Edward Lowassa aliye iba mapene,
Mungu nipe mwandishi wa habari kama Mwangosi, njo uwachukue polisi watuondolee mikosi
Mungu nipe nembo kama machalii, sio wakawaka ya masoro fulani,
REPEAT CHORUS TILL FADE.
Artist : KAPUKU DIGITAL a.k.a Mitishamba Boy.
Track Name : Mungu Nipe A . TOWN
SOURCE : www.Machalii.com