Kumbe wema sepetu ndio yupo hivi?

Kumbe wema sepetu ndio yupo hivi?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,700
wema.jpg


Miguu kama ya Manka halafu hiyo michirizi ya mapajani!!!!
 
ambiwa ni mambo za Obagi hizoooo.............
 
but picha ya hivi kwenye public, naona kama si maadili
 
Huyu anahitaji mshauri..hajitambui hata thamani yake..
 
surgery ni nima wakuu huyo atakwenda kama michael jackson kifo chao ni kimoja hapo akibeba mimba atazaa pakashume
 
Ebu punguzeni udaku bhana!Mtawapotezea watu swaum zao aise loh!
 
but picha ya hivi kwenye public, naona kama si maadili[/QUOTE]

Public ni wapi?? Kwani kaiweka Mandela Rd?? Mwache aoneshe hayo mamilonjo yake. Wapo watakao yatamani lakini namwambia huyo aliyekuwa naye leo hatarudi na akirudi ajue kuna kitu anataka lakini sio hiyo milonjo...Labda awe "High" in the blues. Hope yu get me.
 
but picha ya hivi kwenye public, naona kama si maadili
Watu wana roho mbaya! ukute yeye alimtumia "baby wake" kisha ikaenda from phone to phone hadi kujikuta kwenye mitandao ya jamii. Sijui kama yeye mwenyewe angewezakuiweka public maana hata it is not to her advantage!
 
Daah! Wema alikuwa na ngozi nzuri natural. I wonder what happened mpaka amekuwa hivi?!
 
Akina dada na staili a kuonesha MANYO.NYO, mtatutia matatani.

hahahaaa poleni sana.......raha ya kuonyesha nyonyo shurti nyonyo liwe linavutia........kama dodo mtini ati......!!!
 
hahahaaa poleni sana.......raha ya kuonyesha nyonyo shurti nyonyo liwe linavutia........kama dodo mtini ati......!!!

Uko sahihi kwa 50%. Hiyo 50% nyingine ni kwamba kuna wanaopenda manyo.nyo makubwa (kwetu wanaitwa Cowbell) na wengine vindimu au limao changa (nido). Ila hayo ya Sepeto yako katikati, ila yanavutia.
 
Back
Top Bottom