Bingwaman
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 548
- 288
Mwigizaji Mmarekani mweye asili ya Afrika Jim Kelly alifariki dunia Juni 29, 2013 akiwa na umri wa miaka 67. Jim Kelly alitamba miaka ya 1970 na 1980 baada ya kuibuka katika sinema ya 'Enter The Dragon' alioigiza na Bruce Lee mwaka 1973. Hapa Jim Kelly anafanya vitu vyake katika kipande hiki cha sinema 'Three The Hard Way' ya mwaka 1974.
Last edited by a moderator: