Linah wa tht anatumia dawa za kulevya???

Linah wa tht anatumia dawa za kulevya???

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,696
linah.jpg

Habari za kusikitisha zilizo nifikia hivi punde, zinasema Msanii Linah kutoka THT naye ameanza kutumia cocaine. Haijajulikana ni sababu gani haswa ambayo imemfanya mdada huyu kufikia uamuzi huo mgumu kabisa katika maisha ya mwanadamu, ingawa mtoa habari anasema, sababu zinafanana na zile za Ngwea ( R.I.P ), i.e Linah amedhulumiwa/anadhulumiwa pesa nyingi na Ruge, so kujifariji, ameamua kuanza kutumia dawa za kulevya. Kama hbari hii ni kweli itakuwa ni habari mbaya sana.
 
Ru~ gay si mchezo.
Anakutumia mwili wako, nguvu yako, akili yako na pesa anakudhulumu. Mbaya zaidi anatembea na wasanii wake wa kike
 
linah.jpg

Habari za kusikitisha zilizo nifikia hivi punde, zinasema Msanii Linah kutoka THT naye ameanza kutumia cocaine. Haijajulikana ni sababu gani haswa ambayo imemfanya mdada huyu kufikia uamuzi huo mgumu kabisa katika maisha ya mwanadamu, ingawa mtoa habari anasema, sababu zinafanana na zile za Ngwea ( R.I.P ), i.e Linah amedhulumiwa/anadhulumiwa pesa nyingi na Ruge, so kujifariji, ameamua kuanza kutumia dawa za kulevya. Kama hbari hii ni kweli itakuwa ni habari mbaya sana.

Hivi hawa wasanii nani kawaambia kutumia madawa baada ya kudhurumiwa waki zao ni njia ya kujifariji??? hebu acheni ujinga. Ninyi si wa kwanza kuzurumiwa. Watanzania wote tunadhurumiwa maisha bora, elimu na mambo kibao kwa hiyo tutumie madawa ya kulevya ili tujifarijii???? narudia acheni ujinga ebo! Baba zenu wanafanya kazi serikalini, wamedhurumiwa vingapi, mbona hawali madawa??? ACHENI UJINGA NYIE LOOOOOOOOOOOOOOOOH! Ngoja nitoke kabisa humu, nitawashukia rasmi one day
 
U know sometimes Malcolm alisema kweli kwamba if u dont stand 4 something kwenye haya maisha basi ni rahisi sana kwa chochote kukuyumbisha na hicho ndicho kinachompata huyu mtoto hawa wote pamoja na akina amini,recho and other short sightened guys wana vipaji vya kawaida mno ila ni THT ndo inawafanya waonekane wanajuuuuua hivyo wana kosa msimamo mbele ya master wao ruge mwisho wa siku ndo haya ya kuwa drug addict wakati wenzao wa other side i may say wale jamaa wa ant virus na masela wengine kama AY na wengine wasioishi kwa mgongo wa ruge wako poa na wanalisongesha kibishi coz they got something 2 stand 4 kuliko hawa watoto
 
Hivi hawa wasanii nani kawaambia kutumia madawa baada ya kudhurumiwa waki zao ni njia ya kujifariji??? hebu acheni ujinga. Ninyi si wa kwanza kuzurumiwa. Watanzania wote tunadhurumiwa maisha bora, elimu na mambo kibao kwa hiyo tutumie madawa ya kulevya ili tujifarijii???? narudia acheni ujinga ebo! Baba zenu wanafanya kazi serikalini, wamedhurumiwa vingapi, mbona hawali madawa??? ACHENI UJINGA NYIE LOOOOOOOOOOOOOOOOH! Ngoja nitoke kabisa humu, nitawashukia rasmi one day

Hawa wasanii wa fleva ni sikio la kufa, maisha yao ni sawa na muziki wao....playback na hukosa radha baada ya wiki ama mwezi. Sasa hivi utasikia Linah anaokota makopo feri na kusaulika kama alikuwa mmoja wa wasanii wanao download beats za watu na kuimba.
 
Kuubwia ndio ujanja wenyewe hapa mujini. Ukiubwia ndio unaonekana mjanja
 
nadhani kuna haja ya kuanza kuwaweka ndani wao na mameneja wao
 
Amani kwa kaka voda milionea waambia masela wako waache poda wale mmea-jipange linah
 
inawezekana ikawa kweli japo sina uhakika maana siku za karibuni alikuwa ni mtu wa karibu wa yule agnes masogange!!
 
Back
Top Bottom