LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,696
Ilikuwa ni albamu babu kubwa, ndani ya albamu hiyo kulikuwa na nyimbo, Sofia ( eeh sory to sofia, i lov you mwanamaaa ), morenita , Aba Guimo, Robin Pretty, Mama Rhoda. Inanikumbusha mbali sana, enzi hizo sh. mia inaitwa nyanga. Nikisikia nyimbo hizi huwa nawakambuka rafiki zangu wa utotoni akina Halima Hussein ( msichana mzuri kuliko wote duniani ), Swabahi Asunga nawengineo wengi.
Soukous Stars - Sophia (Lokassa Ya M'Bongo) - YouTube
Soukous Stars - Sophia (Lokassa Ya M'Bongo) - YouTube