Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Why are Jay-Z, Beyonce and many of the other artists that they work with (such as Rihanna) so obsessed with the Illuminati? Why does Illumunati symbolism constantly show up in their music videos...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa ujumla wake mchezo wa mpira-wa miguu, mikono, pete,meza n.k ukilinganisha na muziki-bongo flava, gospel, ngoma za asili n.k kipi kina mashabiki wengi?
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Kuna mdau JF aliomba wimbo wa Baba Paroko; nimeupata huu hapa. Enjoy..!
1 Reactions
28 Replies
26K Views
..Hii ni Fursa nzuri wa wasanii
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sijui kama bongo kuna wanazi wa mieleka kama ilivyo kwenye soka. Hii ni kwa sbb sioni linajadiliwa kama michezo na burudani zinginezo.So kwa mwenye updates (kama yupo) atujuze kinachojili kunako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tazama video mpya kutoka kwa mwanadada Baby Madaha katika wimbo unaokwenda kwa jina la Summer Holiday.
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Wale wadau wa ulimbwende......tukutane hapa saa hii..... Ndio sasa mambo yapo jikoni.....Star TV......sijui nani atachukua........ huku tukisubiriu Miss World hapo tar 28 Sept..........tusuuze...
1 Reactions
283 Replies
22K Views
mi napenda sana hizi movies, kama nawe unapenda basi tushee pamoja zile kalikali. nianze tu kidogokidogo 1. conan the barbarian. ni movie ya 2011. inamapigano ya ukweli, full maadventure na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati huo tulipokuwa tunasoma msingi miaka ile ya 80 kulikuw na michezo maarufu sana mashuleni na nje ya shule, nakumbuka kila shule ilikuwa na kikundi cha sarakasi ambacho kingeweza kwenda hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna nyimbo mwenzenu nashindwa kuzisahau. Ni zile nyimbo tulivu zile enzi kabla ya vita ya Kagera na soda za Potelo? Em tukumbushane jamani...vijana wenzangu wa zile enzi za Simba Grill. Mimi...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
MSANII WA HIPHOP AMEZINGIRWA NA ROHO YA UMAUTI. Mimi Vimvitae Lignumvitae, kutoka Taasisi ya Ungo Afrika, nikiwa katika maono yangu ya kiroho, nimeiona aura ya msanii Curtis...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiachana na Olympus has fallen, whitehouse down natafuta movie za kijasusi mpya kwa yeyote anayezifaham naomba afunguke
0 Reactions
1 Replies
3K Views
BONGO MOVIE BADO SAAAAANA! * Kuvaa uhusika sifuri. * Kuvaa uhalisia sifuri kabisa. Nimetoka kutazama movie ya kibongo, kwenye hiyo movie kuna scene jamaa anaenda kumuona...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiulizwa sababu ya kuamua kusambaza filamu zangu mwenyewe badala ya kuzipeleka kwa wasambazaji ambao nilikuwa nikifanya nao kazi kwa muda mrefu, yaani kampuni ya Steps...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Naskia kuna msanii wa mziki huko ugaibuni alipigwa risasi na baba yake baada kumgundua kuwa shoga sijamfaham ni nani hebu anayemfaham anijuze
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kuwaambia watu wa Clouds #Ruge #Mpoto #Maganga #Fiestateam sisi watu wa Kusini Mtwara vs Lindi tunazijua Fursa na ndomana hatutaki Gesi itoke ili wawekezaji waifuate Mtwara kuja...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Huyu jamaa anajua kazi yake sio kidogo Me and You - Ommy Dimpoz Ft. Vanessa Mdee - YouTube Hili jina tu fungua uone wala sio Ommy mwanamuziki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa yoyote aliyewahi kuiangaliaa hii tamthlia ya kikorea naomba unijulishe ntaipata vp? Coz nimehangaika kuisaka ili nii download nakutana na link ambazo zipo complicate sana .....hii tamthlia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutokana na the komedy kupoteza mvuto ni bora kuangalia epiq bongo star search angalau unaweza angalia na watoto na ukacheka sababu ya waimbaj comedy. .masanja n ua team JIPANGE,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
American movie - Romeo and Juliet Nigerian movie - Johnbull and Rosekate Tanzanian movie..........?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom