Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 365,195
- 843,331
Wakati huo tulipokuwa tunasoma msingi miaka ile ya 80 kulikuw na michezo maarufu sana mashuleni na nje ya shule, nakumbuka kila shule ilikuwa na kikundi cha sarakasi ambacho kingeweza kwenda hata shule za mbali na kutoa burudani tena Wakati mwingine kwa pesa
Lakini vile vile walikuwepo wanamazingaombwe , wacheza ngoma na mapawa ambazo walizunguka mashuleni na kutoa burudani kwa walimu na Power maarufu sana alikuwa power Mabula, sijui bado yupo hai? Na kikundi maarufu sana cha ngoma Wakati ule kilikuwa Kibisa ngoma troupe Siku hizi hakipo tena,mambo yamebadilika mno na Siku hizi hii michezo haipo tena