Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Siku za hivi karibuni mwigizaji anayefanya vizuri kwasasa katika filamu nchini Niva Zubery amekuwa akiweka status zikimhusu mwigizaji mwenzake Wema Sepetu na baadhi ya mashabiki wa mastaa hao na...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Yule mwakilishi wa Tz Nando ametolewa kwa kosa la kutaka kumchoma kisu mshiriki toka Ghana! hii ilitokea juzi baada yakutofautiana! Dogo alisema mtu kama huyu hasitahili kuishi! na kuamua kuenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"SASA NIMEOKOKA.....UJINGA SITAKI TENA"...LULU MICHAEL MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bondia Evander kupigana Tanzania Oprah Winfrey kuitembelea Tanzania R Kelly kuja Tanzania By Millard Ayo | Wed, 17 Jul 2013 Mwimbaji staa wa dunia Robert Kelly au R. Kelly amethibitisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasalaam wadau,,huku mtaani naona hizi seriez,nashawishika kuzinunua lakini kwa jinsi season 2 ilipoishia sioni kama kutakua na mwendelezo,,na hata nilipojaribu ku-google sikuona habari ya season...
0 Reactions
33 Replies
1K Views
Umofia kwenu wana JF, Nimefanya research clouds Fm radio na kugundua kwamba endapo msanii ataenda kinyume na managent{ruge&joe} basi wimbo wowote ambao ametajwa huyo msanii basi wata futa ilo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Msanii wa filamu bongo,Baby Madaha amefunguka kwamba siku akianza kuona dalili za ugonjwa wa UKIMWI ndani ya mwili wake atakunywa sumu kwa kuhofia kuchekwa na jamii...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Diamond
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii anayechipukia katika filamu za Kibongo, Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’ anamtafuta ubaya gwiji katika tasnia hiyo, Aunt Ezekiel kwa kusema anamtamani mumewe...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
"NILIJUA TU KWAMBA WANAFIKI WATAFURAHIA MATESO YANGU" ....AGNESS MASONGANGE VIDEO Queen ambaye hivi karibuni alidaiwa kukamatwa na madawa yanayosadikiwa ni ya kulevya ‘unga’ nchini Afrika...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
HIZI NDIZO PICHA ZA UGONI ZA NDIKUMANA NA LUCY KOMBA ZINAZOMTESA IRENE UWOYA..!! LILE sakata la staa wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya kutuhumu kumshika ugoni staa mwenzake aliyemtoa...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Kwenye masuala ya burudani, kampuni ya Prime Time Promotion ilijipatia zabuni ya Sh milioni 194.7. kumbe nao ni moja wa taasisi zinazoibomoa hii nchi,bse nao wametajwa ktk taasisi zilizo shiriki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mama mzazi wa Marehem msanii wa bongo movie (comedy) na Bongo Flava Sharomilionea amefunguka kuwa mpaka leo anashangaa hajakabidhiwa baadhi ya vitu vya thamani alivyokua akimiliki mtoto wake...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwanzoni nilipoingia club 71 wakati imefunguliwa niliona kama club ya maana kwa watu wastaarabu.Lakini nimeifanyia tathmini na kugundua ni ya vijana zaidi.Vurugu za vijana na madem na ma-DJ wa...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Mwakilishi wa BBA The Chase kutoka Zimbabwe aliyejipambanua kama strong na mwenye msimamo thabiti kiasi cha kupelekea akina Feza kumuogopa kama threat, amekutana na kisanga cha mwaka baada ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu kama kuna mtu huwa anafuatilia hiki kipindi cha Pika bomu cha Startv jumatatu kimetulia sana na mwendeshaji wake mzee Ndashau,ni cha kibunifu na kinaburudisha.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii Movie ya No Retreat No Surrender nilikuwa naizimia kichizi miaka ile ya Utoto na huyo Van Damme Nilimchukia sana hadi baadae nikawa nampenda....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MASHABIKI WAMPONDA WEMA SEPETU BAADA YA KUYAANIKA MATITI YAKE MTANDAONI “Did I miss a spot…? I dunno,” ni maneno ya Wema kwenye picha aliyoiweka leo katika mtandao wa Instagram. Hata hivyo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimezikumbuka sana hizi nyimbo za Whitney Hauston All at once Where do broken heart go I will always love u Waiting to exhale
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Back
Top Bottom