Allen ! Sangoma a kiboko kutoka rufiji

Allen ! Sangoma a kiboko kutoka rufiji

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,699
BONGO MOVIE BADO SAAAAANA!

* Kuvaa uhusika sifuri.

* Kuvaa uhalisia sifuri kabisa.

Nimetoka kutazama movie ya kibongo, kwenye hiyo movie kuna scene jamaa anaenda kumuona mganga wa kienyeji.

JINA LA MGANGA : ALLEN.

Mganga ana mke anayeitwa CECY na wana mtoto anaitwa HELLEN.

Hivi jamani kweli, mganga wa kienyeji kutoka Ikwiriri Rufiji, anaweza kuwa anaitwa ALLEN? Okei, anaweza kuwa na mtoto anaye itwa HELLEN ? Mganga wa kienyeji kutoka Ikwiriri Rufiji atapata wapi ujanja wa kuwa na jina kama ALLEN ? achilia mbali kumpa mtoto wake jina HELLEN ? Waganga wa kienyeji especially kutoka Rufiji wana majina yao bana, sio ALLEN.

BONGO MOVIE kuweni serious basi , mbona mambo yenu OSH KOSH B'GOSH !!!!
 
Mganga kuitwa allen.. they are not serious wana majina yao bwana..
 
Rufiji kuna majina ya koo kama mkumba,rwambo,mtimbwa,nyanketo,nyankima,nyalitombwanike,ndiyo majina asili ya rufiji
 
Rufiji kuna majina ya koo kama mkumba,rwambo,mtimbwa,nyanketo,nyankima,nyalitombwanike,ndiyo majina asili ya rufiji

Kweli, bora wangemuita hata Uledi
 
Rufiji kuna majina ya koo kama mkumba,rwambo,mtimbwa,nyanketo,nyankima,nyalitombwanike,ndiyo majina asili ya rufiji

Jamal Rwambo naye ni wa Rufiji? nilikuwa najua ni muhaya
 
Akina rwambo wapo na morogoro,sasa morogoro wamepakana na wilaya ya rufiji
 
Bora hata huyo mganga angejiita LIKUD,Mchambawima,Mkanyageni,mkundukuwaka,katerero,Nanjilinji etc etc

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bora hata huyo mganga angejiita LIKUD,Mchambawima,Mkanyageni,mkundukuwaka,katerero,Nanjilinji etc etc

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahaaa... labda ndio waganga wa kisasa... nimecheka sana mganga kuitwa allen
 
Back
Top Bottom