Baba Paroko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba Paroko

Discussion in 'Entertainment' started by Kwetunikwetu, Nov 16, 2009.

 1. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kuna mdau JF aliomba wimbo wa Baba Paroko; nimeupata huu hapa.

  Enjoy..!
   

  Attached Files:

 2. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Japo siye aliyekuomba,ahsante sana mkuu.Nimefurahi sana niliposikia 'bojo mkazi wange'...
   
 3. m

  minara Member

  #3
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello mambo vp, nami naomba wimbo wa nisamehe mpenzi cjui umeimbwa na nani ila jamaa anasauti kama aliyeimba baba paroko na ni wimbo laini/bluzi ya kibongo
   
 4. m

  minara Member

  #4
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello mambo vp, nami naomba wimbo wa nisamehe mpenzi cjui umeimbwa na nani ila jamaa anasauti kama aliyeimba baba paroko na ni wimbo laini/bluzi ya kibongo
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  bita kyoma?
   
 6. lexur16

  lexur16 Senior Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 127
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  jamani ivi huo wimbo wa baba paroko kaimba nani...mi nahisi ni sauti ya PAPA WEMBA....naombeni uhakika jamani
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Makassy Jr.
   
 8. iloveguinness

  iloveguinness Senior Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Huu wimbo ni mkali, ila watu wengi hawajui mda mzuri wa kuucheza. Jana nilikudhuria harusi ya mpwa wangu, wakaucheza wakati wa maakuli, seriously.........newly weds.....wazee kwa watoto wanasikiliza habari za vipepsi na unyumba.....maaakuli......KENNY G WAPI??? DAVE KOZ je???:doh:
   
 9. r

  rahmarama New Member

  #9
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani umecheza kweli...!!!! manake na mimi nilikuwa nautafuta kweli huu wimbo.. ubarikiwe mpaka ushangae... Manake nikafikiri sasa nitafute contact za huyu huyu makassy jr..lol!!!
   
 10. lexur16

  lexur16 Senior Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 127
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  habari zenu wadau.....heri ya mwaka mpya.....naomba kama kuna mtu anaeza nisaidia wimbo wa emmanuel nkulila "PAIN IN ME" afanye ivyo maana nimeutafuta bila mafanikio...asanteni sana!!
   
 11. S

  Sammy Nyoni Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  senk yu vere mach hata mm nimeupata haha aha:mullet:
   
 12. dymosy

  dymosy Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba wimbo wa AIC Shinyanga unaitwa Safisha...ulitoka 2007/2008
   
 13. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  mkuu unatisha sana, nimejaribu kuutafuta baada ya kuulizwa na jamaa yangu nimechemka mpaka nilipoingia JAMII FORAMU. ULIPIGWA MWAKA GANI WIMBO HUU?
   
 14. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkuu nashukuru hata mimi nilikuwa nautafuta. Nimeupata na-enjoy.
   
 15. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2013
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,222
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  Thanks you made may day!
   
 16. l

  lazamwa Member

  #16
  May 2, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba saana mwenye ujuzi anisaidie. Nautafuta au namtafuta aliyeimba wimbo uliotamba sana ktk madisco ya tanzania miaka ya 90'. Jina silijui ila una maneno yafuatayo kibwagizo,' told you to go babe, but how much i love you so haha... ha ha.

  Mwanzo unaanza hivi: gimme a motherf****r babe babe babe.....

  Kama wewe ni dj au unaukumbuka wimbo huu basi naomba saana unisaidie tafadhari.
   
 17. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  huyu huyu MC wa kwenye sherehe au kuna Makassy Jr. wengi?
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2013
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huyo MC
   
 19. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Dah! Nilimsikia anaimba nikamkubali kweli nikajiuliza kwanini huyu jamaa asitoe singo zake mbona anaimudu mic vizuri...LOL asante kwa kunijuza.
   
 20. m

  mbambaguy JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2013
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hyo nymbo ya baba paroko nani kaimba, cz nilikuwa nautfta sana nimekuta rink google imenifanya nisign up jamii forum
   
Loading...