Wana jamvi, naombeni msaada wenu wa jinsi ya kuupata wimbo wa taarabu wenye mashairi haya "Uliona ni mtaji kwa milupo ya kutupa ukalivamia jiji kutaka mambo kwa......... Hivyo unavyomuona yeye...
1. Kim Kardashian & Kanye West (Bel Air)
Kim Kardashian and Kanye West bought this $11 million Spanish villa-style mansion near Los Angeles shortly after news broke of Kardashian's pregnancy...
je kuna relationship gani kati ya majina ya movies hizi " dark" na ulimwengu ulivyo, je kipi kilichokusudiwa? Najua jf imejaa peoples with great minds na amini some one will explain kwa nini jina...
Kwa wale ajukuu zangu tu ambao wamo ndani ya Jukwaa hili la JF;
Pamoja na mvi zangu hizi, huwa napenda pia kufuatilia affairs za wajukuu zangu. Huyu mtangazaji ni mzuri sana na kazi zake ni makini...
Weekend ndo imeanza,wapi sehemu imetulia niende??Nataka kwenda sikiliza hii nyimbo na kudance bhana!
"Careless Whisper"
I Feel So Unsure
As i take your hand
And lead you to the dance floor
As the...
Mwimbaji mkongwe wa muziki tanzania ametangaza kustaafu na kuomba wananchi wamchangie chochote kwani hana hata baiskeli!Ikumbukwe huyu mzee amekua akitumiwa na ccm katika sherehe mbalimbali na...
Msanii Tundaman amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kujitosa nusu uchi mtaani akiwakwepa askari polisi ambao walivamia kwake leo asubuhi kwa lengo la kumkamata....
Chanzo cha Tunda man...
Ndugu wanajamvi, napenda kuanzisha uzi wenye lengo la kupeana taarifa zinazohusu Tasnia ya filamu Tanzania. Tasnia ya filamu nchini Tanzania inaajiri watu wengi sana, wengi wao ni vijana, ambao...
Utajiri, safari zake nje ya nchi vyatiliwa shaka
*Ahusishwa na mtandao hatari wa Masogange
KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji...
Clouds media tayari wamezindua msimu wa Burudani za Fiesta kule Mkoani Kigoma, itafuatiwa na matamasha kadhaa katika mikoa zaidi ya kumi (10) .
Wapenda Burudani katika mikoa hiyo wanajiandaa...
Hatimae #KILIMUSICTOUR2013 na #SERENGETIFIESTA 2013 Matamasha makubwa ya Music Tanzania yanafunguliwa rasmi leo katika mikoa miwili tofauti lakini maarufu kwa uvuaji wa samaki ya MWANZA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.