Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
mi napenda sana hizi movies, kama nawe unapenda basi tushee pamoja zile kalikali.
nianze tu kidogokidogo
1. conan the barbarian. ni movie ya 2011. inamapigano ya ukweli, full maadventure na story pia imetulia sana. pia kuna some romance hivyo kuwa makini ukiangalia na wanao au wazazi.