Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

WanaJF naomba munisaidie hvi game ya android gani ni nzury??
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Mwanamuziki wa kizazi kipya diamond,kamkabidhi gari kama zawadi ya kustaafu mzee gurumo. source:StarTV
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa mjibu wa mtandaoni maarufu wa habari Africa, allafrican news umeripotiwa ndugu jay msangi promoter wa pambano la ngumi Tanzania Kati ya cheka na philp wiliam wa marekani amehojiwa na police...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakuna muziki mzuri duniani kama muziki wa kiafrika.. Tazama video ya wimbo huu mwaka 1993 uitwao MISS DES MISS wa mwanamuziki KOFFI OLOMIDE, utakubaliana na ninacho kieleza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Majina ya washiriki watakaogombania tuzo za Channel O Africa Music Video Award (CHOAMVA 2013) yametajwa na kutoka Tanzania msanii aliyetajwa katika vipengele viwili ni msanii AY. Msanii huyu yeye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba nisaidie niweze pata hz nyimbo kwani nazipenda saaana.. 1.Wa Les Wanyika unaimba hv; ni miaka mingi mama, tokea sijakuona, mzazi wangu mama ehe... ooh nakuja, aaiiiii), and the chorus...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Some say I'm crazy, these punk-ass cops can't fade me Mama tried to raise me, but had too many babies Papa was a mother----in, joke Used to find dope in his coat And nearly choked when he'd tell...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Nataka film iwe ni love story Andika scene ziandikwe moja moja, yaani ianze ya kwanza, nikichagua nalipa inafata ya pili, nitakayoichagua nailipia then inafata ya nne mpaka mwisho nalipa kwa mpesa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu! Jamani mm ni mpenzi wa MOVIE zakipelelezi Naomba mnisaidie kujua MOVIE kali za mambo hayo na wapi naweza kuzipata natanguliza shukran!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tena kufanya kazi ya kulinda usiku kwani yuko so harsh katika kuwasiliana na wasiklilzaji kwa kauli alizonazo zinafaa kutumika tu kwa vibaka na sio watuma salamu kwenye redio yao.Mimi sijawahi...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
wanajamvi nimeikuta hii story kwenye twitter eti dogo ommy dimpoz kaiba beat ya mzee mzima papa wemba ktk wimbo wa naogopa mkorogo yeye ndo akaitupia ktk hili songi nalohit nalo sasa la tupogo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada wa jina kamili la wimbo huu na aliyeuimba.Nimeona video yake hivi karibuni lakini sikubahatika kujua jina la wimbo. Wimbo una kiitikio "Soma,soma soma...wazuri bado wazaliwa e"
0 Reactions
1 Replies
1K Views
While there are some movies stand out more than others with their amazing plot, humor or actors, there are also some that give us their awesome endings! Well, if you want to watch some movies...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna movies ambazo bado hazijatoka ila zinatarajiwa kua kali na zitatoka mwaka huu huu 2013, nimekutana nazo nyingi tu zikipigiwa promo ila sio zote kiukweli zitakuja kubamba. Kwa wale wapenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From 'NSYNC's reunion to that fondling foam finger, we look back at ceremony's highlights, lowlights. On Sunday, Brooklyn's Barclays Center hosted a party the likes of which the brand-new arena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je wewe ni mwanamuziki? Mashindano ya mziki ya dunia ya vibao vipya yanayojulikana kama I Wanna Be Famous yanayoletwa kwenu na Perfect Internet yanaendelea. Mashindano haya yameanza mwezi July...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeinasa BBC jioni hii kuwa Mzee wetu MUHDIN MAALIMU NGURUMO (umri Miaka 70+) amestaafu rasmi kazi ya Muziki wa Dansi baada ya kuwemo katika Tasnia hiyo kwa zaidi ya miongo mitano! Maoni yangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muda mfupi shindano la bba limemlizika na mrembo delish frm namibia ameibuka na ushindi tumejifunza nini kwa ujumla? Wasanii wamejiifunza nini?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
=== = = = "Washiriki 28, kushiriki shindo hili la Big Brother Africa (The Chase), ikiwa ni msimu wa nane tangu kuanzishwa - huku kwa mwaka huu likijulikana kama The Chase. Washiriki...
3 Reactions
574 Replies
65K Views
Hivi jaman kuna live stream ya kuangalia ze komedi origino over the net? Nimewamiss sana hawa vijana, hua wananikuna sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom