Clouds/RUGE na Timu yako: Mtwara Tunazijua Fursa

Clouds/RUGE na Timu yako: Mtwara Tunazijua Fursa

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,500
Reaction score
7,431
Naomba kuwaambia watu wa Clouds #Ruge #Mpoto #Maganga #Fiestateam sisi watu wa Kusini Mtwara vs Lindi tunazijua Fursa na ndomana hatutaki Gesi itoke ili wawekezaji waifuate Mtwara kuja kuwekeza viwanda ili Mtwara na Lindi ifunguke.

Dar tunataka mletewe umeme kwa njia nguzo, kiwanda cha kinyerezi kijengwe Mtwara wakifanya hivyo Kusini Itafunguka maana wawekezaji watakuja,maana kama leo mtwara tuna umeme wa uhakika lakini wawekezaji wanasuasua.

Ukiondoa Dangote na ishu ya kiwanda cha simenti mengine kizunguzungu, kama leo watu wamefunga viwanda dar sababu ya shida ya umeme,je gesi ikifika Dar na umeme ukawa wa uhakika mwekezaji gani atakuja kusini kuwekeza?

1. Naomba muelewe sio hatutaki kutumia na watanzania wenzetu hapana,Gesi dar ije kwa njia nyingine sio bomba
2. Nimepata taarifa Symbion watadharisha umeme Megawatti 600 na wataziunganisha katika gridi ya Taifa kupitia Songea, kwahiyo umeme nchi mzima utatulia
3. Namuomba huyo Mpoto anaedai kuoteshwa na mungu asilete longolongo, asidhani sisi Hatuzioni fulsa Tatizo atuna mitaji ya kuzitumia kwa vitendo hizo fulsa, punguzeni kejeri.

Nb vijana wanapenda Kulima, Uvuvi, Ufugaji, tuna ardhi lakini hatuna MITAJI msizani atujielewi,mtuambie Fedha tunapata ili tuzitumie hizo Fulsa,au hiyo Semina inawahusu wenyewe Mitaji
"Vox popoli vox dei"
 
Wao ndo wanatumia fursa kwa kuwadanganya watu watashinda magari na pikipiki.
Mpaka mda huu, hakuna mshindi wa gari wala bajaj huko ambako fiesta imepita.
 
Huyu ni mpoto gani!huyu mjomba au mwingine atakuwa amejidhalilisha sana kama ni yeye
 
Huyu ni mpoto gani!huyu mjomba au mwingine atakuwa amejidhalilisha sana kama ni yeye
Eeh ndugu,kuna Tangazo clouds Mpoto anasema ameambiwa na Mungu
 
Wao ndo wanatumia fursa kwa kuwadanganya watu watashinda magari na pikipiki.
Mpaka mda huu, hakuna mshindi wa gari wala bajaj huko ambako fiesta imepita.

Wanajifanya kapatikana Kigoma lakini kuna utata
*asubuhi aliojiwa Bonge na kina Barba kuhusu mshindi wa Vitz,Bonge akajibu ajapatikana,Saa NNe anapigiwa Sebastin Maganga akasema amepatikana uwanjani palepale,Swali linakuja,Bonge akuwepo Uwanjani
 
Hivi zile ajira 1M za Mh zilishia wapi mpaka tunaambiwa tuone fursa? maana wengine waliziona ajira zile kama ni fursa ila wamesubiri na kipindi chake ndo kinaisha..Wenzagu wa Lumumba peleka salaaaam
 
Tunawasubili watuambie pesa tutapata wapi za kutumia katika fulsa vinginevyo iatakua kama "jogoo anawai kuamka lakini hawezi kufungua mlango"
 
Wanajifanya kapatikana Kigoma lakini kuna utata
*asubuhi aliojiwa Bonge na kina Barba kuhusu mshindi wa Vitz,Bonge akajibu ajapatikana,Saa NNe anapigiwa Sebastin Maganga akasema amepatikana uwanjani palepale,Swali linakuja,Bonge akuwepo Uwanjani

Hata kule Singida sijasikia kitu.
Wanatumia hata viongozi wa serikali katika mikusanyiko yao kuwahadaa wananchi.
 
Back
Top Bottom