Brilliant legacy!!!!!!

Brilliant legacy!!!!!!

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
kwa yoyote aliyewahi kuiangaliaa hii tamthlia ya kikorea naomba unijulishe ntaipata vp? Coz nimehangaika kuisaka ili nii download nakutana na link ambazo zipo complicate sana .....hii tamthlia ilikuwa inaonyeshwa na television ya capital tv lkn hawakuimalizia inahusu mjukuu wa bibi mmoja ambaye alikuwa tajiri mwenye kumiliki hotel ambaye mjukuu hyo ali fall in love kwa mmoja wa wafanyakaz wa ile hotel yao
 
Mwungwana, kuoka kwenye mitaro michafu hadi I lov u.
 
Back
Top Bottom