Hii kitu coke studio iko poa sana, jamaa wamejipanga na wanaweka vionjo vya aina yake lazima mtu uipende tu. Hivi inafanyikiwa nchi gani wakuu? Bongo inawakilishwa na Diamond, Lady Jaydee...
Salaam,
Zamani sana nilikua mpenzi wa nyimbo za mwambao wa pwani (taarab) na kikubwa nilivutika na tungo za wasanii mahiri wa mziki huo zamani kama kina marehemu mzee Issa matona, Siti bint Saad...
Mkenya, Lupita Nyongo atwaa tuzo ya Hollywood
Vipi kwa wasanii wetu wakibongo ? hasa wa kike au wao kazi ni kukaa na kupiga picha za uchi na kuzisambaza mitandaoni?
na kugawa uroda bila...
Dear wapendwa I hope mu wazima: Nina dukuduku
I know kuwa as watanzania tunatakiwa kuonyesha uzalendo kwa kusupport kazi za watanzania wenzetu. Leo MwanajamiiOne nazungumzia swala zima la...
ile series bora zaidi kuwahi kutokea ya 24 itarudi tena mwakani ambapo jack bauer ataigiza series nyingine itakayoitwa live another day, dah naisubiri kwa hamu sana
Mara Clara Ndo Drama ya aina yake kuwahi kuigizwa nchini Pilipine,na hii drama iliyo anza kuyweshwa 2010 nchini Philipine ndo Bora kabs uwahi kigizwa mpaka leo hii
Daah kiukweli nilitegemea mwaka huu itakuwa babu kubwa tamasha la Fiesta kuwa angalau tutamuona P. Didy au tuamuona Rihana vile. Ila kiukweli hawa Clouds tamasha lao mwaka huu wamechemka. Kuleta...
Update 26th October 2013: 1st eviction night, Uganda's undercover Brothers and Kenya's Mishel are Out!!
Update: Poor Tanzanians! two are evicted! We're left only with Hisia and That pretty...
habari wakuu, wapenzi wote wa wwe hapa ndio kwetu tufundishane tucheke sote na kufurahi sote na husijaribu majumbani kwetu, leo kuna specials events kuanzia saa nane mpaka 11 ndani ya etv...
Huu wimbo umewekwa jana Youtube, ila leo tayari umeshaangaliwa na watu zaidi ya milioni moja na nusu.....
Ni katika kampeni ya Wanawake wa Saudi Arabia kuwa wanaendesha wenyewe magari.....
Baada ya jana maelfu ya wapenda burudani kukatizwa na na itilafu ya umeme iliyojitokeza kwenye moja ya jenereta na kufanya umeme kukatika uwanjani, na kufanya baadhi ya wasanii kama Mahombi...
Naomba mnijuze show ilikuwaje?stej ilikuwaje mahudhurio walofanya vizuri walofanya vibaya nan alitupia je mziki wetu unakua au ndo unazid kuangamia kwaajili ya hawa clouds media?
Kwa mdau yeyote anaye fahamu kilingala, tafadhali naomba anisaidie kufahamu tafsiri ya kiswahili ya wimbo EVELYNE wa AURLUS MABELE ulio toka mwaka 1993 .. Kwa juu najua...
Sijui ni hali ya kuishiwa cha Kuonyesha kwa watazamaji au Vipi.
Kiukweli "original comedy" imeguaka kua ni sehemu ya Matangazo ,hata kama ndio sehemu ya kupatia Mapata ,ila wameshindwa Kubalance...