Tamasha la fiesta kurudiwa leo kiingilio bure

Tamasha la fiesta kurudiwa leo kiingilio bure

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,326
Baada ya jana maelfu ya wapenda burudani kukatizwa na na itilafu ya umeme iliyojitokeza kwenye moja ya jenereta na kufanya umeme kukatika uwanjani, na kufanya baadhi ya wasanii kama Mahombi, Diamond na Davido kushindwa kutumbuiza.

Uongozi wa Prime Time Promotion umeamua kurudia onyesho hilo kuanzia ratiba ilipoishia jana, Hii inamaana kuwa Davido, Diamond na Mahombi watatumbuiza leo

Kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi na mbili jioni... KIINGILIO BUREEEEE!!..
 
Kumbe umeme ulizingua jana? Pole yao.
 
Hahaaaaaa...... hawa jamaa wanadhani wtz wanafikiria matamasha tu....nina zao
 
jana ilikuwa kichekesho sanaa, ruge someni alama za nyakati sasa.
 
Back
Top Bottom