Hii kitu coke studio iko poa sana, jamaa wamejipanga na wanaweka vionjo vya aina yake lazima mtu uipende tu. Hivi inafanyikiwa nchi gani wakuu? Bongo inawakilishwa na Diamond, Lady Jaydee, Octopizzo na kikundi kimoja hivi cha sanaa

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.