The odessa file

The odessa file

Kwa wale wapenzi wa movies... any idea wapi naweza kupata movie hii?

Mwenyewe naisaka kitambo sana. Nilikuwa na VHS zamani sana. Natamani nione na kusikia ile ''mizee'' ya kijerumani ikiimba wimbo fulani hivi kwa mpangilio mzuri sana wa sauti
 
Back
Top Bottom