Mama yangu Salama hanipendiiiiiiiiiiiiii hhahhahaa, a few yrs ago niliachiaga A FEW comments about her, ndo beef hadi leo. Huwa ananidiss balaaa kuna mtu alimuuliza siku moja mbona hujamwalika...
wadogo kwa wakubwa ,rika zote ,jamani tunaweza kushare talents zetu kupitia hii thread,najua wengi wetu tuna vipaji mbalimbali vya kuimba,comedy,kurap na vingine vingi,
lets...
Kama tulivyokubaliana kuwa tutakumbushana..........Miss World ni leo na itarushwa moja kwa moja na Star TV au kwa wale wanaoweza kupata Citizen ya Kenya........mjimuvuzishe huko........Star TV ni...
Kwa kweli kwa mtazamo wa kwangu hizi ndio best comedy/funniest movie za miaka hii ya 2000;
1. John English 1 and 2, cast by Rowan Atkinson (Mr Bean)
2. Due date, cast by Zach Galifianakis and...
Why are Jay-Z, Beyonce and many of the other artists that they work with (such as Rihanna) so obsessed with the Illuminati? Why does Illumunati symbolism constantly show up in their music videos...
Kwa ujumla wake mchezo wa mpira-wa miguu, mikono, pete,meza n.k ukilinganisha na muziki-bongo flava, gospel, ngoma za asili n.k kipi kina mashabiki wengi?
Sijui kama bongo kuna wanazi wa mieleka kama ilivyo kwenye soka.
Hii ni kwa sbb sioni linajadiliwa kama michezo na burudani zinginezo.So kwa mwenye updates (kama yupo) atujuze kinachojili kunako...
Wale wadau wa ulimbwende......tukutane hapa saa hii.....
Ndio sasa mambo yapo jikoni.....Star TV......sijui nani atachukua........
huku tukisubiriu Miss World hapo tar 28 Sept..........tusuuze...
mi napenda sana hizi movies, kama nawe unapenda basi tushee pamoja zile kalikali.
nianze tu kidogokidogo
1. conan the barbarian. ni movie ya 2011. inamapigano ya ukweli, full maadventure na...
Wakati huo tulipokuwa tunasoma msingi miaka ile ya 80 kulikuw na michezo maarufu sana mashuleni na nje ya shule, nakumbuka kila shule ilikuwa na kikundi cha sarakasi ambacho kingeweza kwenda hata...
Kuna nyimbo mwenzenu nashindwa kuzisahau. Ni zile nyimbo tulivu zile enzi kabla ya vita ya Kagera na soda za Potelo? Em tukumbushane jamani...vijana wenzangu wa zile enzi za Simba Grill.
Mimi...
MSANII WA HIPHOP AMEZINGIRWA NA ROHO YA UMAUTI.
Mimi Vimvitae Lignumvitae, kutoka Taasisi ya Ungo Afrika, nikiwa katika maono yangu ya kiroho, nimeiona aura ya msanii Curtis...
BONGO MOVIE BADO SAAAAANA!
* Kuvaa uhusika sifuri.
* Kuvaa uhalisia sifuri kabisa.
Nimetoka kutazama movie ya kibongo, kwenye hiyo movie kuna scene jamaa anaenda kumuona...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiulizwa sababu ya kuamua kusambaza filamu zangu mwenyewe badala ya kuzipeleka kwa wasambazaji ambao nilikuwa nikifanya nao kazi kwa muda mrefu, yaani kampuni ya Steps...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.