LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,498
- 36,677
Kwa mdau yeyote anaye fahamu kilingala, tafadhali naomba anisaidie kufahamu tafsiri ya kiswahili ya wimbo EVELYNE wa AURLUS MABELE ulio toka mwaka 1993 .. Kwa juu najua kwenye wimbo huu anamzungumzia msichana mrembo anayeitwa Evelyne ambaye ni mburkinafaso . Kwa anaye weza kunipa tafsiri kamili, tafadhali naomba anisaidie kufahamu. WITH MUCH THANX IN ADVANCE.
Aurlus Mabele - Evelyne - YouTube
Aurlus Mabele - Evelyne - YouTube