BSS vs Tusker Project Fame

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Dear wapendwa I hope mu wazima: Nina dukuduku

I know kuwa as watanzania tunatakiwa kuonyesha uzalendo kwa kusupport kazi za watanzania wenzetu. Leo MwanajamiiOne nazungumzia swala zima la kutafuta vipaji vya wanamuziki Tanzania linalofanywa na Benchmark Production Company inayoongozwa sijui kumilikiwa na Madame Rita .

Pengine nimekuwa Brain washed na kile kinachofanyika kwenye Tursker Project Fame lakini I believe BSS they are not serious. Leo nimekuwa nikiangalia na kusikiliza comments zitolewazo na majudge nikashangaa sana na kujiuliza
1. Hawa majudge wana elimu gani ya muziki (tukilinganisha na wale akina Ian wa Tusker Project fame)? Kama hawana elimu yoyote juu ya muziki imeshindikana kutafuta walimu wa muziki au watu wenye elimu ya muziki na kuwafanya majudge ambao watacritisize critically kwa nia ya kuwajenga washiriki badala ya kuishia kuwasifia tu mara umependeza, una macho mazuri sijui sura yako inauza e.t.c. (I wonder why Mr. Kitime is no longer there)

2. Nimesikitishwa sana na uwezo wa madame Rita kama judge ambaye ameshindwa hata kujua mziki uliokuwa unaimbwa kwa style ya kurudiwa/ copiwa na washindani wa BSS umeimbwa na nani?? hiki nimekinote baada ya maonyesho ya leo ambapo mshiriki Waziri Salum aliimba wimbo wa Amoure wa Kassim Mganga na Madame Rita kuufagilia kwa kusema ni wimbo uloimbwa na Baby Madaha ambaye ni zao la BSS. Hatukatai kuwa naye ana wimbo uitwao Amoure but sio ulioimbwa na mshiriki Waziri.

Najiuliza BSS iko kuinua vipaji seriously kama ifanyavyo Tusker Project Fame au inafurahisha umma??
 
Ni mwanzo tuu am sure as time goes wataimprove,ila wanaitaji wataalamu zaidi wa mziki
 
bado sana bss ni kifo na usingizi ukilinganisha na tusker project . inabidi wawe serious sana kama wanataka iwe classic.
 
uko sawa bucho, wasipokuwa serious watakuwa wanawaanda tuu kwaajili ya kushiriki TPF kama ilivyo kwa msechu na leah, ambao ni product za BSS!
 
Ni mwanzo tuu am sure as time goes wataimprove,ila wanaitaji wataalamu zaidi wa mziki

wataimprove lini? wana miaka mingapi sasa?, mbona kuna wataalamu wengi wa muziki pale Bagamoyo kwa nini wasiwe wanawachukua kuja kujudge hizo siku mojmoja wanazorusha mashindano yao?
 
yes..Majaji wengine hapo nadhani wamechukuana kiushikaji tu.........hawana abcd za muziki al all
 
Ni mwanzo tuu am sure as time goes wataimprove,ila wanaitaji wataalamu zaidi wa mziki

I guess huu ni mwaka wa tatu au wa nne kwa shindano la BSS nisahihisheni kama nitakuwa nimekosea sasa sijui kama huwa wanajaribu kupata feedback kutoka kwa wadau kwa mashindano yaliyopita binafsi mimi nafikiri wanahitaji wataalamu wa muziki zaidi mtu anayejua muziki in and out when we talk about Madam Rita sijui kama ana background ya muziki i guess she's being there because its her project angewaachia watu wenye uwezo na wenye quality za muziki kuwa judges she can do the rest
 
HATA MIMI NASHANGAA ila mwanzo mgumu.....

Hakuna cha mwanzo wala nini...

Tusker Project Fame iko Season 4 na BSS pia iko Season 4 sasa hapo mwanzo uko wapi? Si wote wana muda sawa kwenye kuandaa hizo show??
 
hakuna cha mwanzo wala nini...

Tusker project fame iko season 4 na bss pia iko season 4 sasa hapo mwanzo uko wapi? Si wote wana muda sawa kwenye kuandaa hizo show??

show ipo kibiashara zaidi.........wapi j4?
 
Dear wapendwa I hope mu wazima: Nina dukuduku

I know kuwa as watanzania tunatakiwa kuonyesha uzalendo kwa kusupport kazi za watanzania wenzetu. Leo MwanajamiiOne nazungumzia swala zima la kutafuta vipaji vya wanamuziki Tanzania linalofanywa na Benchmark Production Company inayoongozwa sijui kumilikiwa na Madame Rita .

Pengine nimekuwa Brain washed na kile kinachofanyika kwenye Tursker Project Fame lakini I believe BSS they are not serious. Leo nimekuwa nikiangalia na kusikiliza comments zitolewazo na majudge nikashangaa sana na kujiuliza
1. Hawa majudge wana elimu gani ya muziki (tukilinganisha na wale akina Ian wa Tusker Project fame)? Kama hawana elimu yoyote juu ya muziki imeshindikana kutafuta walimu wa muziki au watu wenye elimu ya muziki na kuwafanya majudge ambao watacritisize critically kwa nia ya kuwajenga washiriki badala ya kuishia kuwasifia tu mara umependeza, una macho mazuri sijui sura yako inauza e.t.c. (I wonder why Mr. Kitime is no longer there)

2. Nimesikitishwa sana na uwezo wa madame Rita kama judge ambaye ameshindwa hata kujua mziki uliokuwa unaimbwa kwa style ya kurudiwa/ copiwa na washindani wa BSS umeimbwa na nani?? hiki nimekinote baada ya maonyesho ya leo ambapo mshiriki Waziri Salum aliimba wimbo wa Amoure wa Kassim Mganga na Madame Rita kuufagilia kwa kusema ni wimbo uloimbwa na Baby Madaha ambaye ni zao la BSS. Hatukatai kuwa naye ana wimbo uitwao Amoure but sio ulioimbwa na mshiriki Waziri.

Najiuliza BSS iko kuinua vipaji seriously kama ifanyavyo Tusker Project Fame au inafurahisha umma??

Ukiwa timamu jibu unakuwa nalo bila kujiuliza, mie hata sijishughulishi kutiza ule utumbo maana huwa nasikia kichefuchefu/
 
yani ukiangalia tusker project fame halafu uangalie BSS unaweza kukasirika na kushangaa BSS wanafanya nini hasa. hivi wanao walimu wa kuwafundisha wale vijana kweli au kila mtu abnastruggle kivyake?
 
sinaga kabisa mzuka na BSS kwakweli, afadhali mara mia TPF
 
Huwezi kuendesha mashindano yakafanikiwa iwapo huna waamuzi wenye mshiko /credibility. Shindano lolote lile ubora hauko kwenye washiriki bali katika mfumo wa uamuzi. Kwa BSS waamuzi walitakiwa wawe mchanganyiko kama vile
1. Mwenye kujua muziki kama taaluma
2. Mwenye kufahamu uwasilishaji/presentation wa muziki (stage, radio/audio na video/visual presentation)
3. Mwenye uzoefu na soko la kazi za sanaa/utamaduni
4. Mwenye jicho la jumla yaani mwenye kujua muziki kidogo, ufahamu mfumo wa maonesho ya muziki na ujuzi wa soko
Hii inatokana na ukweli kuwa muziki si sauti tu bali, uwasilishaji/performance na uwezo wa kubanana kwenye soko kupitia media mbalimbali kama TV, radio & video/film.
 
Ah mwacheni binti Rita yupo kibiashara zaidi, azichange na ajipange kivingine, mjasiliamali wa bongo yule certainly knows her next move!!!
 
Back
Top Bottom