Mara Clara The Best Philipine Drama of all time

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,967
Reaction score
9,544
4.jpg

Mara Clara Ndo Drama ya aina yake kuwahi kuigizwa nchini Pilipine,na hii drama iliyo anza kuyweshwa 2010 nchini Philipine ndo Bora kabs uwahi kigizwa mpaka leo hii
gary-david_jhong.jpg
 
Uko sawa kabisa cjawai kumis even a single episode kuanzia inaanza, naipenda sana na iko tofauti sana na zingine ni ngumu kupredict wat wil hapen next
 
Mara,aisee hainipiti wanangu nao ndo kutwa kunirukia rukia vitu vingine vinanipita
 
inaisha lini aisee, we mbona umeandika ze endi wakati ndo imefikia patamu, kama vip tusimulioe basi..., mie niambie tu kama avira atazichukua zile pesa zilizochimbiwa pale chini.
 
Jamani ndio nini hiyo? Au ndio mambo ya digital?
 
yaa this thing is verrrrrrry gooood!

my wife alisha icheki hadimwisho kwenye dstv ila hataki kunihadidhia eti ntapoteza ladha! naona ye mwenyewe anainjoy kinoma noma me nikiwa mtumwa kwenye kitu ambacho ye ameshakijua mwanzo hadi mwisho! nahsi cku moja ntamnyima mchezo hadi anihadidhie ndo nampa mambo!
 
inaisha lini aisee, we mbona umeandika ze endi wakati ndo imefikia patamu, kama vip tusimulioe basi..., mie niambie tu kama avira atazichukua zile pesa zilizochimbiwa pale chini.
Zile pesa gary kaziona.
 
yaa this thing is verrrrrrry gooood!

my wife alisha icheki hadimwisho kwenye dstv ila hataki kunihadidhia eti ntapoteza ladha! naona ye mwenyewe anainjoy kinoma noma me nikiwa mtumwa kwenye kitu ambacho ye ameshakijua mwanzo hadi mwisho! nahsi cku moja ntamnyima mchezo hadi anihadidhie ndo nampa mambo!

Ha ha ha! Umechemka, utakuwa mnyonge kwake mpaka iishe.
Kwangu mimi MARIMARI WAS THE BEST EVER
 
yaa this thing is verrrrrrry gooood!

my wife alisha icheki hadimwisho kwenye dstv ila hataki kunihadidhia eti ntapoteza ladha! naona ye mwenyewe anainjoy kinoma noma me nikiwa mtumwa kwenye kitu ambacho ye ameshakijua mwanzo hadi mwisho! nahsi cku moja ntamnyima mchezo hadi anihadidhie ndo nampa mambo!
DSTV????????????????????????channel gani?labda useme MYTV AFRICA.
 
sijuio ila hiyo MYTV AFRICA. nyumban hakuna so sina uhakika kama atakua ameiona wapi! ye amesema kwenye dstv ndokunachanel ilokua inaonyesha na ye ameiona! napata uhakika coz ananipaga vipande ambavyo hua vinakuaga kama alivyoniambia! atakua anasema kweli huyu mlimbende wangu bila shaka! unajua anapenda sana tv! anajua chanel nyingi sana.
 
wabongo sijui kama watafikia kiwango hicho kila mtu ameimudu nafasi yake ona mama yake na jambazi Gari anavyoact kama ameparalyse utafikiri ni kweli
 
sijuio ila hiyo MYTV AFRICA. nyumban hakuna so sina uhakika kama atakua ameiona wapi! ye amesema kwenye dstv ndokunachanel ilokua inaonyesha na ye ameiona! napata uhakika coz ananipaga vipande ambavyo hua vinakuaga kama alivyoniambia! atakua anasema kweli huyu mlimbende wangu bila shaka! unajua anapenda sana tv! anajua chanel nyingi sana.
Hajaiona bwana,kwanza angekosa hamu ya kuiangalia.na angekusimulia tu.Clara anabore ni mnafiki sana
 
sijuio ila hiyo MYTV AFRICA. nyumban hakuna so sina uhakika kama atakua ameiona wapi! ye amesema kwenye dstv ndokunachanel ilokua inaonyesha na ye ameiona! napata uhakika coz ananipaga vipande ambavyo hua vinakuaga kama alivyoniambia! atakua anasema kweli huyu mlimbende wangu bila shaka! unajua anapenda sana tv! anajua chanel nyingi sana.
inawezekana labda channel za free to air zilizopo dstv kama kbc nk lkn channel ambazo zinalishwa content na dstv wenyewe hawana utaratibu wa kuonyesha series za wafilipino.....hata mimi nilishaiona kipindi naishi mpakani na uganda(mutukula) kupitia channel ya uganda.ingawa episode za mwisho sikupata kuiona ial clara atapararaizi baada ya kugongwa na gari na gary atafungwa maisha.
 
Mara itakuaje?natamani nijue inaishaje ili niache kuangalia
 
Gary kweli ni noma.
Hiyo mara clara iliwahi kuchezwa kabla na ma actor wengine,hiyo unayoiona hivi sasa ni new edition.
 
inawezekana labda channel za free to air zilizopo dstv kama kbc nk lkn channel ambazo zinalishwa content na dstv wenyewe hawana utaratibu wa kuonyesha series za wafilipino.....hata mimi nilishaiona kipindi naishi mpakani na uganda(mutukula) kupitia channel ya uganda.ingawa episode za mwisho sikupata kuiona ial clara atapararaizi baada ya kugongwa na gari na gary atafungwa maisha.

uko sawa yawezekana aliiona akiwa uganda coz anasoma huko tangu mwaka jana! so ilikua chanel gan nimulize hapa?
 
Back
Top Bottom