Fiesta ilikuwaje...?

Fiesta ilikuwaje...?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,920
Tupeni feedback mlioenda huko. Je wasanii kwa ujumla walikonga nyoyo zenu au mliboreka?
 
Yoo! yoo! dj track # 3, piga keleleee!! etc zilikua nyingi.
 
Hahahah nasikia majanga plus uko
 
nimeskia wasanii wengi hawakuperform kama kina Diamond ,Mohombi,Ney na wengine wengi ,sababu ya hitilafu za taa za stegini so wasanii hawo wataperfom leo kwa kingilioo cha bureeeeeeeeeee.

source :radio wafu
 
We mtoto weeee
 
Back
Top Bottom