Wadau yule dogo aliyedai kuwa ndugu an Diamond katoa Single, kifupi KAUAAAAAAAAA!
Jipakulie hapo au isikilize.
DOGO S.KIDE-DIAMOND by arungu - Hulkshare
DOGO S.KIDE-DIAMOND by arungu - Hulkshare
Mpaka miaka ya kama themanini hivi nchi hii palikuwa na majumba ya kuonesha sinema kama Avalon, New Chox, Empire, Empress, Drive In n.k. kwa Dar es Salaam na mikoani pia palikuwapo majumba hayo...
Hivi vipindi vingine jamani naomba viangalia utu....maana naangalia hiki kipindi cha huyu uwoya mpaka kimenifanya nimebadilishe Channel.
Kama unaamua kumsaidia mtu sio lazima kumjulisha kila...
WANASOKA ULAYA MNAMJUA SANA REFA "HOWARD WEBB",KWA DSM HUYU REFA KIPUNJE,ANACHEZESHA NA PANGA KIUNONI
Refa Kipunje akiwa kazini
In Summary
Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya...
Habari wadau
leo naona ni bora nitoe dukuduku langu kwani nahisi hapa ni mahali sahihi pa kufanikiwa ndoto zangu. mimi ninapenda sana kuimba, na malengo yangu ilikuwa ni kuwa mwanamuziki hapo...
BILA STEPS INAWEZEKANA
NA WILLIUM MTITUKwa muda mrefu nimekuwa nikiulizwa sababu ya kuamua kusambaza filamu zangu mwenyewe badala ya kuzipeleka kwa wasambazaji ambao nilikuwa nikifanya nao kazi...
Duuuh, jana nikasema ngoja niangalie BSS maana tangu ianze sijaangalia, nilichokutana nacho niliona aibu mwenyewe maana mtu unashangaa hawa washiriki wametolewa wapi,ni aibu tena kwa television...
Wana jf hivi hili tamasha la fiesta linaloendelea mikoani mnalionaje,maana mpaka sasa hawa jamaa wameshapita ktk jumla ya mikoa 13 na bado wanaendelea na kote huko wanakusanya hela, mimi...
Jana nilikuwa nawatch kipindi cha Salama Mkasi..Huyu Mrembo Joketi alivyokuwa anabehave mbona sikuamini nilichokuwa nakiona?I thought ni Star anayejielewa,ana exposure but naishia kumuona Anacheka...
Salam wakuu,
Kwa wale wapenzi wa muziki wa hiphop nafkiri mtakubaliana na mimi kwamba hivi vichwa viwili ni hatari sana katika kuandika nyimbo za ukweli interms of conscious na vilevile hata flow...
ndugu wanajamvi hasa wapenzi wa muziki wa zamani (zilipendwa) leo nawaleta kwenu moja ya miamba ya musiki Tanzania, si wengine nao ni JAMHURI JAZZ dhidi ya WESTERN JAZZ katika mpambano wa nani...
Kukatika katika jana kwa matangazo wakati wa mchezo baina ya Simba na Ruvu hakukutokana na ubovu wa vifaa vya azamtv bali Tbc1 ambao wamewahost Azam kwenye masafa yao ili kushirikiana kurusha...
Popular Edo born Nollywood actor and board of internal revenue staff, Flavian Okojie has been shot dead in Benin City by unknown gunmen 3 weeks after his wedding. Flavian and former EBS but now...
leo nimeamini kuwa'mazoea ni kama sheria'J,pili hii imekuwa nzito sana kwangu sababu kubwa ni kulikosa gazeti''MWANANCHI''gzt pendwa/aminifu zaid kwangu mimi,kinachonisikitisha zaid ni sababu...