Mwanamuziki Diamond alikuwa anamaanisha nini aliposema...

Mwanamuziki Diamond alikuwa anamaanisha nini aliposema...

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
..."we Tatu kidonda chako kwangu maradhi"

SIJAMUELEWA DOGO, ISIJEKUWA FUMBO LA TUSI!
 
kwani hujui Duniani tuko kwa kazi mbili tu kutumikia tumbo na papuchi bas!!!
 
Sory mkuu,
"sums" ndio nini hapo?
tumia tu lugha yako!

......An amount obtained as a result of adding numbers......

Ila ndugu hizi tungo tukizidadavua mara nyingi huwa tunaishia kwenye maana tofauti kabisa na mwenye wimbo wenyewe...
 
Dina, i grabd no clue, thats y i askd 4 motherlangoo..

hawa wasanii hawa, wanajua dunia ya sasa inapenda kusikia matusi
 
Hakusema ni magazeti ya ngoshigo ndio wametengeneza maneno kuweka chuki. pole wema Domo anakupenda
 
Back
Top Bottom