Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,970
- 13,427
Hawa wanamuziki kutoka nchini Congo huwa wanajituma sana jukwaani,nikiangali nyimbo hii kwenye dakika ya 8:58 namuona repa baada ya kumaliza kurep anamkimbilia mkaanga chipsi(mpiga drum)ili kumpandisha mzuka.
Naomba kujuzwa hao marepa wawili wa huyu mwanamuziki Ferre Gola wanaitwa akina nani?
wadau wa muziki wa kikongo: Sikonge Field Marshall ES,
Nalog off
Naomba kujuzwa hao marepa wawili wa huyu mwanamuziki Ferre Gola wanaitwa akina nani?
wadau wa muziki wa kikongo: Sikonge Field Marshall ES,
Nalog off
Last edited by a moderator: