Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
My eternal ina epsode 203 lakn
Star Tv, hawajaifikia, hata epsode ya 100,
walikuwa wanatuzingua au vp?
Star Tv, hawajaifikia, hata epsode ya 100,
walikuwa wanatuzingua au vp?
My eternal ina epsode 203 lakn
Star Tv, hawajaifikia, hata epsode ya 100,
walikuwa wanatuzingua au vp?
Episodes 2 za huko ulikotoa ndio zinakua Episode 1 ya Star TV
sio kweli, kama we nimfuatiliaji,
Kaangalie vipande You tube utaona
Daniel na Katerina Wanakufa.
Mi nimekujibu suala la why Episodes hazijafika 203. Wao Episodes zao ni za nusu saa but Star TV walizionyesha kwa karibia lisaa limoja.
Ok, ina ile harusi mwishoni ni kiini macho??
Au kifo ni baada ya harusi?
Jamaa mmoja ananiambia eti walioania peponi/akhera pale mwisho.
sio kweli, kama we nimfuatiliaji,
Kaangalie vipande You tube utaona
Daniel na Katerina Wanakufa.
sio kweli, kama we nimfuatiliaji,
Kaangalie vipande You tube utaona
Daniel na Katerina Wanakufa.