Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Jamani kuna ngoma inachezwa mkoa wa MBEYA inaiywa LING'OMA kweli toka nimeanza kuangalia ngoma za kiasili sijaona ngoma inayo chezwa vizuri kama ngoma ile,yani huwezi kuchoka kuiangalia is the best