GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
Wasanii hupenda kushirikishana ktk nymbo zao na kufanya kitu kizuri kwa fans wao zipo kolabo nzuri zilizofanyika kwenye industry kwangu mm the best ni ya solothang alowashirikisha afande sele na prof jay mtazamo we yako ni ipi?