yahaya ajitokeza,amjibu lady jaydee

yahaya ajitokeza,amjibu lady jaydee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,457
Msanii hard mad ametoa single yake mpya aliyoiita NAISHI GHETO,mad aliyevaa uhusika wa YAHAYA kajibu maswali yote na vijembe alivyorushiwa na jide.
 
Kama alishafuria asitegee kupata kick kwa mgongo wa Jide amefuria.

Nakelwa sana na wasanii uchwara kama hawa wa kudandiadandia vitu, hana tofauti na yule bwegge anayejifanya ni mdogo wake Diamond eti kaibiwa nyimbo na Diamond wakati Diamond ana nyimbo zaidi ya 100.
 
Katumia fursa mwachen ajaribu,may be atatoka,mi was wasi wangu ni kama hyo nyimbo itakuw na mshiko kwenye jamii na kujizolea umaarufu pengine zaid ya hayaya
 
Dnt attack.. inawezekana wamekubaliana na Jide kufanya hivyo ili wauze.. music is da bznes!
no one know inn-story!
 
Msanii hard mad ametoa single yake mpya aliyoiita NAISHI GHETO,mad aliyevaa uhusika wa YAHAYA kajibu maswali yote na vijembe alivyorushiwa na jide.

Anatafuta pa kufufukia huyo marehemu wa muziki...
 
Kama alishafuria asitegee kupata kick kwa mgongo wa Jide amefuria.

Nakelwa sana na wasanii uchwara kama hawa wa kudandiadandia vitu, hana tofauti na yule bwegge anayejifanya ni mdogo wake Diamond eti kaibiwa nyimbo na Diamond wakati Diamond ana nyimbo zaidi ya 100.

Kama alishafulia SIO alishafuria
Nakerwa SIO Nakelwa

Kiswahili ni lugha yako ya Taifa lakini bado tu kinakupiga chenga kama Nyang'au, unapotakiwa kuweka R unaweka L na unapotakiwa kuweka L una weka R
 
Msanii hard mad ametoa single yake mpya aliyoiita NAISHI GHETO,mad aliyevaa uhusika wa YAHAYA kajibu maswali yote na vijembe alivyorushiwa na jide.
wimbo mbovu bora angenyamaza?
 
bora hata yule aliyeimba remix ya my number one ya diamond.
 
Yahaya ninayemjua mie ni a.k.a Ruge, Huyo dogo anatafuta mtoko tu!
 
Kama alishafuria asitegee kupata kick kwa mgongo wa Jide amefuria.

Nakelwa sana na wasanii uchwara kama hawa wa kudandiadandia vitu, hana tofauti na yule bwegge anayejifanya ni mdogo wake Diamond eti kaibiwa nyimbo na Diamond wakati Diamond ana nyimbo zaidi ya 100.

dah mkuu una matatizo sana R na L eeh?!!
kufuria - kufulia
nakelwa - nakerwa

kiroho safi
 
Nahisi operesheni kimbunga imeacha masalia humu.ulimi wake una shida
 
Kama alishafulia SIO alishafuria
Nakerwa SIO Nakelwa

Kiswahili ni lugha yako ya Taifa lakini bado tu kinakupiga chenga kama Nyang'au, unapotakiwa kuweka R unaweka L na unapotakiwa kuweka L una weka R

Mzee kifimbocheza at work, hahaha!Hapana chafua lugha yetu bwana
 
hata wanaume kama mabinti siilijibiwa lakini na wale jamaa walikuwa na jiita Ngoni kama sikosei sikuhizi washapote,nilikuwa naipenda sana goma lao la katibu kata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom